Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,264
- 6,679
Anae jitambua hawezi kuzaa na mwanaume wa njeSingle Mother anaejitambua ni daraja la mafanikio kwenye maisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anae jitambua hawezi kuzaa na mwanaume wa njeSingle Mother anaejitambua ni daraja la mafanikio kwenye maisha.
C mm nimesema mkuu n yy ,labda km ananijaza cjui atajua yy ,Mh....Kwa maaiabu gan uliyonayo kitanda I??? Unajishaia tuuu huna lolote
Mkuu umeandika point tupuSiwezi toa kauli/comments ambayo itamfanya mdada mwenye mtoto ajiskie vby, siwezi jua mazingira yaliyomfanya akapata mtoto
Kumbe mnajuana,,Mh....Kwa maaiabu gan uliyonayo kitanda I??? Unajishaia tuuu huna lolote
Big sana💪Ndio uhalisia mkuu ss wann Tena na tulishindwana ..atulizanee lkn haelewii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda yy ananijua mkuu ila mm cmjui ,hao ndio binadamuu.Kumbe mnajuana,,
Nimesoma heading tu nikaona niwahi kukoment kwanza then ntarudi kusoma uzi.Salamu jamii,
Tunazaliwa tunakutana na taratibu za jamii na za mungu.
Pamoja na vijembe vya wanaume desperate na wenye chuki za kitoto na za kimaskini.
Nawaambia kweli iliyo kweli, ukipata bahati ya kuwa na mahusiano na Single Mother anaejitambua hakika hata kama hutomuoa yeye basi iwe isiwe utapenda uoe na uwe na mke.
Single Mother anaejitambua ni daraja la mafanikio kwenye maisha.
Mungu ni wetu sote
Shukrani [emoji120][emoji120][emoji120]
Wadiz
Pia awe na ushahidi hata wa picha na video za msiba wa jamaa!Kaburi la mumewe umeliona lakini au unaongea tu
Dah.!Ila kijana km ujaoa usijaribu kuoa single mother ..mm nimebahatika kupata mtt na mdada mmoja hv tuliishii miaka mitano km mke na mume no ndoa ,baadae yakatokea yakutokea msela nikapita hv na mtt wangu ikapita miaka miwili napambana na dogo ,Dem yy naye akaendelea na maishà yake akapata mselaaa ,msela akachota chombo akaweka ndan Tena Kwa harusi kbs uku akijua kbs Dem n single Maza ,bac baada ya ndoa haijapita hata miez cta Dem ananitafutaa ooohh nimemic familia yangu ambayo n ww na mtt najuta hata kwann nimeolewa nikawachaa..mm kmyaa ,bac usumbufu ukaanza nimemic penzi lako ,mara ntakujaa home then tufanye yetu uku nilipo sifurah kbs kitandan ,mm nikaona c vzr kumlia mshikaji mzigo wakee maaana kagharamia mpk harusi alafu Leo tu amfumee Bado namla manzi Ake itakuwa fedhea na akimuacha ataendaa wap ,maana mm mwenyewe cna time nae ..ilaa Dem kageuka msumbufu mpk nataman nipate namba ya jamaa yake nimwambiee amwambiee mkewe atuliee ,mm na yy tulishafunga kurasa ...
Ume ongea ukweli mkuu.Ila kijana km ujaoa usijaribu kuoa single mother ..mm nimebahatika kupata mtt na mdada mmoja hv tuliishii miaka mitano km mke na mume no ndoa ,baadae yakatokea yakutokea msela nikapita hv na mtt wangu ikapita miaka miwili napambana na dogo ,Dem yy naye akaendelea na maishà yake akapata mselaaa ,msela akachota chombo akaweka ndan Tena Kwa harusi kbs uku akijua kbs Dem n single Maza ,bac baada ya ndoa haijapita hata miez cta Dem ananitafutaa ooohh nimemic familia yangu ambayo n ww na mtt najuta hata kwann nimeolewa nikawachaa..mm kmyaa ,bac usumbufu ukaanza nimemic penzi lako ,mara ntakujaa home then tufanye yetu uku nilipo sifurah kbs kitandan ,mm nikaona c vzr kumlia mshikaji mzigo wakee maaana kagharamia mpk harusi alafu Leo tu amfumee Bado namla manzi Ake itakuwa fedhea na akimuacha ataendaa wap ,maana mm mwenyewe cna time nae ..ilaa Dem kageuka msumbufu mpk nataman nipate namba ya jamaa yake nimwambiee amwambiee mkewe atuliee ,mm na yy tulishafunga kurasa ...
Una busara sana Mwenyezi Mungu amekujalia.Well said 🌹
Siwezi toa kauli/comments ambayo itamfanya mdada mwenye mtoto ajiskie vby, siwezi jua mazingira yaliyomfanya akapata mtoto
Pole sanaaUna busara sana Mwenyezi Mungu amekujalia.
Mimi ni single mama but mume wangu alifariki kwa ajali ya gari baada ya kugonga lori. Aliniacha na mtoto mdogo wa mwaka mmoja na miezi 3 na sasa amekua namshukuru Mungu.
So wanaume wanaowakejeli single mamas nashindwa kuelewa kama wana ubinadamu na utu.
After all watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu; ni familia ngapi zinatafuta watoto usiku na mchana!
Mimi mashangazi nayo ila shida zao kubwa ni viburi,na kujiona wanaweza kila kituSalamu jamii,
Tunazaliwa tunakutana na taratibu za jamii na za mungu.
Pamoja na vijembe vya wanaume desperate na wenye chuki za kitoto na za kimaskini.
Nawaambia kweli iliyo kweli, ukipata bahati ya kuwa na mahusiano na Single Mother anaejitambua hakika hata kama hutomuoa yeye basi iwe isiwe utapenda uoe na uwe na mke.
Single Mother anaejitambua ni daraja la mafanikio kwenye maisha.
Mungu ni wetu sote
Shukrani [emoji120][emoji120][emoji120]
Wadiz
Pole sana rafiki yangu!Una busara sana Mwenyezi Mungu amekujalia.