Una busara sana Mwenyezi Mungu amekujalia.
Mimi ni single mama but mume wangu alifariki kwa ajali ya gari baada ya kugonga lori. Aliniacha na mtoto mdogo wa mwaka mmoja na miezi 3 na sasa amekua namshukuru Mungu.
So wanaume wanaowakejeli single mamas nashindwa kuelewa kama wana ubinadamu na utu.
After all watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu; ni familia ngapi zinatafuta watoto usiku na mchana!