Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Pamoja sana kakaMkuu umeandika point tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana kakaMkuu umeandika point tupu
Kwanza pole sana,hii kampeni kwa wewe uliyefiwa haikuhusu inawahusu ambao ma x wao bado wapo haiUna busara sana Mwenyezi Mungu amekujalia.
Mimi ni single mama but mume wangu alifariki kwa ajali ya gari baada ya kugonga lori. Aliniacha na mtoto mdogo wa mwaka mmoja na miezi 3 na sasa amekua namshukuru Mungu.
So wanaume wanaowakejeli single mamas nashindwa kuelewa kama wana ubinadamu na utu.
After all watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu; ni familia ngapi zinatafuta watoto usiku na mchana!