Ukiwa Malawi Washirika wako na Chama kipya mnaendeleza Mipango na Majungu yenu, sasa nenda Cuba ukasahaulike mazima

Ukiwa Malawi Washirika wako na Chama kipya mnaendeleza Mipango na Majungu yenu, sasa nenda Cuba ukasahaulike mazima

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nauli ya kuja Blantyre au Lilongwe nchini Malawi hata Masikini GENTAMYCINE anaweza Kujichanganya na akaja kisha tuendeleze Mipango yetu na Majungu ya 2025 na ile Kabambe ya 2030.

Sasa nakutupa Jijini Havana nchini Cuba ( ambako ni mbali Kijiografia ) ili tuone kama Wanafiki Wenzako wa Chama Cha Mambuzi ( Mambuzi Party ) watakuwa na Ubavu wa kuja huko na hata wakija huko bado itakuwa rahisi Kujulikana tofauti na ulikokuwa awali ambako ilikuwa ni rahisi mno hata Wao kuja Kisirisiri na Kujificha Hotelini huku tukiendeleza Majungu na Fitna zetu.

Shikamoo Mama kuwa na Machale!!!
 
Dogo kipindi cha Corona watu wote walifunga maofisi hakuna kwenda ofsini ila kazi zinafanyika wewe ulikuwa ushazaliwa?.
 
We Karisimatiki Fela... Kwani DaZu amesha agizwa kuachia kipeperushi kuhusu Kibanga...??🤔
 
We Karisimatiki Fela... Kwani DaZu amesha agizwa kuachia kipeperushi kuhusu Kibanga...??[emoji848]

Kapigwa cuba ambako hakuna hata mfanyabiashara wa kitanzania akaote jua tu maana hata tips kule hakuna
 
Back
Top Bottom