Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Ukiwa masikini! Hakuna mtu anataka kujua chanzo cha umasikini wako, ila ukiwa na hela, watakuuliza umepata wapi.
Kuna mwaka flani nilifungua ka-biashara, nikiwa na kamtaji Tsh milioni 2,800,000/= sasa basi nikaona kuliko kuzinguliwa na TRA mara Afisa biashara nikaenda kuomba leceni.
Nikakadiliwa kila baada ya miezi mitatu nitoe 75,000 hapo ni TRA.
LESENI nikapata kwa 50,000 kwa mwaka hapo chumba cha biashara nanidai kama laki 3 hivi ya miezi 3. Muda huo nimepanga nilipe maji, umeme bado kula humo humo. Bado unaambiwa utoe hela ya TAKA 20,000
Huezi amini nilifanya biashara mwezi mmoja na nusu nikafunga.
Wengi watasema kwanini hiyo hela usinge fanya biashara ambayo haiingiliani na kulipia leseni na mambo mengine. Nikwambie kitu! Iko hivi ukiwa heka heka za maisha huwezi kupata connection yenye kukupa mchongo zikiisha ndio utaona fursa.
Nilichokuja kugundua ni kwamba, mamlaka ambazo zina dhamana na mambo haya hawana huruma hata chembe yaani ukifika ofisini kwao kama umefika kituoni cha police.
Wanakuona kama umekuja kuwa haribia siku, kwanza majibu wanayotoaga ni kejeri haangalii wala haoni aibu.
Baada ya hapo nilifikiria mengi sana, imagine kijana ambae hana mtaji anapambna kusaka mtaji ataweza kweli? Kama mimi nakamuliwa hivi wengine ambao hawana hata laki moja wanaishije?