Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Mahali popote mbali na nyumba kutoa mkoa wako wanataratibu zao za kuishi kijamii watu wengi wanashindwa kuishi sehemu nyingine kwasababu wameshindwa kufuata taratibu za mahali huko
Iko hivi mfano Mara rorya huku hutaki kula chakula wakazi wakikuangalia hii imewashinda watumishi wengi imesababisha baadhi yao kuomba uhamisho
Ukweli ni kwamba wengi ndio tatizo wala sio wenyeji umekuta sehemu kunautaratibu wake afu wewe unataka ubadilishe
Huko mara rorya ukila chakula njee huku wenyeji wakikuangalia utaanza kuugua au kupelekea kifo kabisa
Huo ushirikina unaitwa picha ng'ada
Funzo
Tuheshimu taratibu za watu walizojiwekea wao ili tuishi vizur na jamii husika
Mwisho
Arajinga anatuharibia ligi ☺