Ukiwa mgeni sehemu yeyote fuata taratibu ili uishi vizuri na wenyeji wako

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Mahali popote mbali na nyumba kutoa mkoa wako wanataratibu zao za kuishi kijamii watu wengi wanashindwa kuishi sehemu nyingine kwasababu wameshindwa kufuata taratibu za mahali huko
Iko hivi mfano Mara rorya huku hutaki kula chakula wakazi wakikuangalia hii imewashinda watumishi wengi imesababisha baadhi yao kuomba uhamisho

Ukweli ni kwamba wengi ndio tatizo wala sio wenyeji umekuta sehemu kunautaratibu wake afu wewe unataka ubadilishe

Huko mara rorya ukila chakula njee huku wenyeji wakikuangalia utaanza kuugua au kupelekea kifo kabisa
Huo ushirikina unaitwa picha ng'ada
Funzo
Tuheshimu taratibu za watu walizojiwekea wao ili tuishi vizur na jamii husika

Mwisho
Arajinga anatuharibia ligi ☺
 
Waafrika muache mambo ya kufuatilia watu sana, mnapenda kusalimiawa salimiwa na kila muda mtu apitapo awe anawachekea.

Fanyeni mambo yenu, utaratibu mavi yenu.
We nenda kule mara huo mdomo utarudi umepinda 😂 😂
 
Serikali ya Samia yatenga Tzs trillion 1 kwa ajili ya safari za viongozi
 
Mgeni anaweza kukosea kutokana na kutokuambiwa vitu muhimu vya kuzingatia kutoka kwa mwenyeji au wenyeji wa sehemu husika
 
Unakula watu wakiwa wanakuona unaugua mpaka kufa??! So ni wapi pa kulia chakula peke yako tu au huko wanaushije.?!
Ng'ada= Ngada ,yaani Bangi.
 
Unakula watu wakiwa wanakuona unaugua mpaka kufa??! So ni wapi pa kulia chakula peke yako tu au huko wanaushije.?!
Ng'ada= Ngada ,yaani Bangi.
Pata chakula ndani kwako sio kulingisha watu wakuone unahela sana
 
Mgeni anaweza kukosea kutokana na kutokuambiwa vitu muhimu vya kuzingatia kutoka kwa mwenyeji au wenyeji wa sehemu husika
Mara nyingi hua wanaelekezwa ila ujuaji sasa na ubishi wamepotea wengi tu
 
Sijui umeandika nini?. Huu ndio uzi mbovu wa kufungia mwezi katikati ya mwaka.
 
Kikubwa fanya yale yaliyokupeleka huko. Mengine waachie wenyewe.
 
hakika kweli ukienda kwa vipofu na wewe funga lako jicho

Anyways
#YANGABINGWA
 
Mimi naheshimu taratibu za watu sana , wala siamini demokrasia so nikienda sehemu nawasoma kwanza ili nijue taratibu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…