Ukiwa mjamzito mtoto anageuka akiwa na miezi mingapi?

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,264
Reaction score
27,132
Habari wakubwa heri ya mwaka mpya na imani mko poa.

Ebhana iko hivi kwa mama mjamzito mtoto anaanza kugeuka akiwa na miezi mingapi........?

Naombeni majibu mtoto wa miezi 6 anaweza akawa ameshageuka tayari naona sielewi na sina ufahamu saa kuhusu haya mambo ameenda kupga utra sound kaambiwa mtoto amegeuka.
 
Kwaio unataka kubishana na dokta au vipimo au vipi mkuu?? Umeambiwa mtoto kageuka!!fata ushauri wa wataalam uko clinic mkuu
 
Habari wakubwa heri ya mwaka mpya na imani mko poa
ebhana iko hivi kwa mama mjamzito mtoto anaanza kugeuka akiwa na miezi mingapi........?
Naombeni majibu mtoto wa miezi 6 anaweza akawa ameshageuka tayari naona sielewi na sina ufahamu saa kuhusu haya mambo ameenda kupga utra sound kaambiwa mtoto amegeuka

Mtoto hugeuka geuka tu karibu muda wote na hilo lisikupe shaka...

Isipokuwa kuanzia wiki za mwisho mwisho hugeuka na kichwa huwa chini uso ukiwa umeface mgongo wa mama, makalio juu...hapo mtoto anakuwa tayari kutoka...
 
Angalizo umri wa mimba isije ikawa unapewa Junior Lokosa kama sisi mashabiki wa Simba last season, be careful
 
Mtoto hugeuka geuka tu karibu muda wote na hilo lisikupe shaka...

Isipokuwa kuanzia wiki za mwisho mwisho hugeuka na kichwa huwa chini uso ukiwa umeface mgongo wa mama, makalio juu...hapo mtoto anakuwa tayari kutoka...
Ndo alienda kupga utrasound kaambiwa mtoto kageuka kama hv makalio juu kichwa chini maana yake mtoto muda wote anaweza akatoka s ndyo...? Na mimba ina miezi 6 mbna apa nashindwa kuelewa hyo inawezekana vp em nifafanulie mkuu huwaga inatokea kweLi.....?
 
Miezi sita bado kujifungua mkuu, hiyo ni position ya kawaida tu...mimba hukaa takribani miezi 9
 
Kwaiyo hyo ya kugeuka haiwez kusababisha mama kujifungua ndani ya hii miezi 6 au 7 s ndyo ...?maana mtoto akigeuka hv s ndo mama anakua tayr kwa kupata uchungu muda wwte kuanzia sasa.....? 🙏
 
😂😂😂😂 baba k hebu relax , endelea na shoppings ya mtoto huku ukigoogle na majina mazuri mazuri ya kumpa
 
ndio first born nini? nakuona una mchecheto teh.....kawaida tu kujigeuza geuza wala kukaa hivo sio kwamba ndio anatoka atatoka muda wake ukifika.
Eeeenhe bhna ndo first born.....afu shida nlivoambiwa hvo nmeshangaa tu maan m nltegemea mwez wa 3 au 4 ndo mambo yatakua safii sasa hyo nlvoambiwa jana nmeshaNgaa nd maana nmekuja kuuliza
 
😂😂😂😂 baba k hebu relax , endelea na shoppings ya mtoto huku ukigoogle na majina mazuri mazuri ya kumpa
Hahhhahaa aya wakat nagugo ayo majina mazuri mazuri natamani na ww unichaguLie hata jina moja la kike na la kiume naweza nkayachukuaga🤣🤣😂
 
Kwaiyo hyo ya kugeuka haiwez kusababisha mama kujifungua ndani ya hii miezi 6 au 7 s ndyo ...?maana mtoto akigeuka hv s ndo mama anakua tayr kwa kupata uchungu muda wwte kuanzia sasa.....? 🙏

Haiwezi sababisha...

Kutoka kwa mtoto (kupata uchungu) ni hadi akomae ambapo huwa ni takribani miezi 9, na huongozwa na hormones...

Kama mama anahudhuria kliniki atatambulishwa hayo yote, madokta huwa wanafanya vipimo
 
Hahhhahaa aya wakat nagugo ayo majina mazuri mazuri natamani na ww unichaguLie hata jina moja la kike na la kiume naweza nkayachukuaga🤣🤣😂
Ya dini gani, au ambayo yapo kotekote....
huwa napenda sana kazi ya kugoogle majina ya watoto nakuaga na mchecheto kama wewe ujauzito wiki mbili tu tayari nagugo jina 😁
 
Back
Top Bottom