fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Habari wakubwa heri ya mwaka mpya na imani mko poa
ebhana iko hivi kwa mama mjamzito mtoto anaanza kugeuka akiwa na miezi mingapi........?
Naombeni majibu mtoto wa miezi 6 anaweza akawa ameshageuka tayari naona sielewi na sina ufahamu saa kuhusu haya mambo ameenda kupga utra sound kaambiwa mtoto amegeuka
TaratibuKwaio unataka kubishana na dokta au vipimo au vipi mkuu?? Umeambiwa mtoto kageuka!!fata ushauri wa wataalam uko clinic mkuu
Angalizo umri wa mimba isije ikawa unapewa Junior Lokosa kama sisi mashabiki wa Simba last season, be carefulHabari wakubwa heri ya mwaka mpya na imani mko poa
ebhana iko hivi kwa mama mjamzito mtoto anaanza kugeuka akiwa na miezi mingapi........?
Naombeni majibu mtoto wa miezi 6 anaweza akawa ameshageuka tayari naona sielewi na sina ufahamu saa kuhusu haya mambo ameenda kupga utra sound kaambiwa mtoto amegeuka
HahahahaaaaaKwaio unataka kubishana na dokta au vipimo au vipi mkuu?? Umeambiwa mtoto kageuka!!fata ushauri wa wataalam uko clinic mkuu
Ndo alienda kupga utrasound kaambiwa mtoto kageuka kama hv makalio juu kichwa chini maana yake mtoto muda wote anaweza akatoka s ndyo...? Na mimba ina miezi 6 mbna apa nashindwa kuelewa hyo inawezekana vp em nifafanulie mkuu huwaga inatokea kweLi.....?Mtoto hugeuka geuka tu karibu muda wote na hilo lisikupe shaka...
Isipokuwa kuanzia wiki za mwisho mwisho hugeuka na kichwa huwa chini uso ukiwa umeface mgongo wa mama, makalio juu...hapo mtoto anakuwa tayari kutoka...
Ndo alienda kupga utrasound kaambiwa mtoto kageuka kama hv makalio juu kichwa chini maana yake mtoto muda wote anaweza akatoka s ndyo...? Na mimba ina miezi 6 mbna apa nashindwa kuelewa hyo inawezekana vp em nifafanulie mkuu huwaga inatokea kweLi.....?
ππ kweLi mkuu hiLo nalo mubimu kujuaAngalizo umri wa mimba isije ikawa unapewa Junior Lokosa kama sisi mashabiki wa Simba last season, be careful
π€£πTaratibu
mwenzio baba kijacho [emoji3]
ππ€£ asante iLa hujanijibu hyo inawezekana au ushawahi kuiskia najua nyinyi wakongwe mambo haya mshaskia sana na kuptia sanaHongera baba kijacho....
Kwaiyo hyo ya kugeuka haiwez kusababisha mama kujifungua ndani ya hii miezi 6 au 7 s ndyo ...?maana mtoto akigeuka hv s ndo mama anakua tayr kwa kupata uchungu muda wwte kuanzia sasa.....? πMiezi sita bado kujifungua mkuu, hiyo ni position ya kawaida tu...mimba hukaa takribani miezi 9
ndio first born nini? nakuona una mchecheto teh.....kawaida tu kujigeuza geuza wala kukaa hivo sio kwamba ndio anatoka atatoka muda wake ukifika.ππ€£ asante iLa hujanijibu hyo inawezekana au ushawahi kuiskia najua nyinyi wakongwe mambo haya mshaskia sana na kuptia sana
ππππ baba k hebu relax , endelea na shoppings ya mtoto huku ukigoogle na majina mazuri mazuri ya kumpaKwaiyo hyo ya kugeuka haiwez kusababisha mama kujifungua ndani ya hii miezi 6 au 7 s ndyo ...?maana mtoto akigeuka hv s ndo mama anakua tayr kwa kupata uchungu muda wwte kuanzia sasa.....? π
Eeeenhe bhna ndo first born.....afu shida nlivoambiwa hvo nmeshangaa tu maan m nltegemea mwez wa 3 au 4 ndo mambo yatakua safii sasa hyo nlvoambiwa jana nmeshaNgaa nd maana nmekuja kuulizandio first born nini? nakuona una mchecheto teh.....kawaida tu kujigeuza geuza wala kukaa hivo sio kwamba ndio anatoka atatoka muda wake ukifika.
Hahhhahaa aya wakat nagugo ayo majina mazuri mazuri natamani na ww unichaguLie hata jina moja la kike na la kiume naweza nkayachukuagaπ€£π€£πππππ baba k hebu relax , endelea na shoppings ya mtoto huku ukigoogle na majina mazuri mazuri ya kumpa
Kwaiyo hyo ya kugeuka haiwez kusababisha mama kujifungua ndani ya hii miezi 6 au 7 s ndyo ...?maana mtoto akigeuka hv s ndo mama anakua tayr kwa kupata uchungu muda wwte kuanzia sasa.....? π
Ya dini gani, au ambayo yapo kotekote....Hahhhahaa aya wakat nagugo ayo majina mazuri mazuri natamani na ww unichaguLie hata jina moja la kike na la kiume naweza nkayachukuagaπ€£π€£π