The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Ukiwa Mkuu wa mkoa ukijishusha, cheo hakiondoki
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amesema hapendezwi na wakuu wa Mikoa nchini wanaojitutumua badala ya kujishusha kwa wananchi wao ili wawatatulie kero zao.
“Ukijishusha kwa wananchi haiondoi hicho cheo chako, nawataka wakuu wa mikoa mjishushe ili mtatue kero za wananchi wa maeneo yenu, Mhe. Rais amenituma niwaambie anapendezwa na mtendaji anayekwenda kwa wananchi kuwatatulia kero zao na sio kutatua tu toeni huduma sababu Mhe. Rais ameshajenga miundombinu wezeshi za utoaji huduma zikiwemo hospitali, tusisubiri hadi Rais aje. Nakuagiza Mwenyekiti wa wakuu wa mikoa fikisha salamu hizo ule u-Mungu watu ufe”. amesema Waziri Mchengerwa
Amesema hayo leo Juni 27, 2024 jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa Programu ya Uimarishaji wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa.
✍🏾 @clementsilla
👇🏾👇🏾👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/C8uF-gdtOya/?igsh=endtMjczbWx5c2t2