Ukiwa mkuu wa mkoa ukijishusha haiondoi cheo chako.

Ukiwa mkuu wa mkoa ukijishusha haiondoi cheo chako.

Wewe ndugu unaishi wapi? Hivi kipindi yupo madarakani ulikuwa unapita pale jangwani? Muulize babuu Omari, hizo propaganda umezitoa wapi kwamba walipungua?
Hilo eneo nalifaham vizuri labda wewe utakuwa ulianza kupita hapo baada ya makonda kuwa mkuu mkoa
 
Hilo eneo nalifaham vizuri labda wewe utakuwa ulianza kupita hapo baada ya makonda kuwa mkuu mkoa
Kama unalifahamu vzuri unamfahamu babuu omari? Kwanini alionekana msimbazi pale akiwa na makonda tena kantini za Polisi?
 
hayacyalishapita mkuu ...mjudge kwa utendaji wake wa sasa, ameshamature wakati huu. " In order to be old and wise, sometimes you should first be young and stupid"
hapa nakubaliana na wewe, sasahiv anachapa kazi, lakini kusema kwamba alipokuwa dar alikuwa anachapa kazi, zile zilikuwa Kiki tu. ILA kwa sasa makonda anachapa kazi
 
Hakuna mkuu wa mkoa aliyejishusha mpaka kwenye nyayo za wananchi kama makonda
Hapana, Makonda kajifaragua kuwa yeye anaishi maisha ya juu sana, kamtambia mpaka mwananchi mwanamke kwamba yeye ana mke mzuri sana akimaanisha huyo mwanamke si mzuri.

Huyo mtu ni mjinga sana.
 
Upatikanaji wao ni wakijinga sn ndiyo maana wanakuwa wapumbavu badala ya kutumikia wananchi wanakuwa wafaulme na siyo watumishi
 
Back
Top Bottom