Ukiwa mlafi usiwe mchoyo

Ukiwa mlafi usiwe mchoyo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mtu akiwa na vyake na ukataka uvitumie na wewe vyako vikitumiwa kaa kimya. Nikiwa na maana kwamba kama unamsema mtu kwa mwingine yaani unapeleka umbea basi na Wewe ukisemwa utulie msumari ukuingie.

Kama mtu ni mpumbavu mwache ale maisha yake, wewe mwerevu usimseme starehe zako umelewa ndo unatoa maneno mengi kwa sababu ya pombe.

Sisi tutakusaport tu ila saa pombe ikiisha utapata aibu.
 
Back
Top Bottom