UKIWA MODEL / VIDEO VIXEN LAZIMA UPIGE PICHA ZA UCHI.

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
1,281
Reaction score
1,300
Habari wana jamvi.

Mara nyingi hua naona picha za wadada ambao hujiita models mara nyingi picha zao ni chafu sana za utupu kabisa na wengi wao siku hizi wameiga tabia hyo cjui wameitoa wapi fashion hiyo maana nimejaribu kupita ktk mitandao ya kijamii na kufuatilia paga zao asilimia kubwa post zao ni za kujianika uchi tu.
Hivi ni nani aliewambia kua kukaa uchi ndo kupata soko!!??
Wadada mnajidhalilisha sana na kujivua utu wenu.
Utakuta mdada amejibenua kiuno utafikiri bodoboda iliyokatika Shokapu.
Hivi nani atataka kukuoa msichana ambae mwili wako wote ushaonekana na kila mtu.
Halafu ndio uwe mama wa familia na malezi bora kwa watoto.
Subutuuuu
Hii tabia ni chafu hebu badilikeni japo maisha ni magumu lakin sio kujiachia uchi hivo.
Wazee wako, ndugu zko, rafiki zako wote wanaona uchi wako nani atakua na shida na wewe!!!?
Mzuri siku zote ni mzuri tu .
 
Yani Insta kila kabinti kamejiweka eti video queen,video vixen,model. UkiSlide kwa DM na 50k yako wajilia kiulainiii,ingawa mwanzo utapokea mitusi au kukataliwa,ila usikate tamaa...
Speaking from experience...
 
Nahisi wale ni wafanyabiashara sasa biashara yao bila matangazo hailipi lazima wajianike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…