Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
ndio hasa humu jukwaani.Wakuu,
Uhuru wa kutoa maoni umehakikishiwa na katiba katika ibara ya 18 kwa kila mtu bila kuathiri sheria za nchi. Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa mawazo yake nje. Uhuru wa kutoa maoni hautakiwi kubaki kwenye makaratasi, badala yake watu wajisi kuwa huru na waweze kutoa maoni yao bila uoga.
Mtu anapotoa maoni yake huwezi kumpangia cha kusema, anachosema kinaweza kuwa kinyume na unachoamini, kukukasirisha au kupingana na wewe, ili mradi havunji sheria yoyote mtu huyo hatakiwi kuingiliwa kwenye uhuru wake wala kuminywa kutoa maoni yake.
Je, uko huru kusema mawazo yako?
Sio huru kivile inabidi nitumie mbinu za werevu wa nyoka, lahaja za lugha na tamathali za semi ili kuruka viunzi vya wasiopenda kukosolewaWakuu,
Uhuru wa kutoa maoni umehakikishiwa na katiba katika ibara ya 18 kwa kila mtu bila kuathiri sheria za nchi. Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa mawazo yake nje. Uhuru wa kutoa maoni hautakiwi kubaki kwenye makaratasi, badala yake watu wajisi kuwa huru na waweze kutoa maoni yao bila uoga.
Mtu anapotoa maoni yake huwezi kumpangia cha kusema, anachosema kinaweza kuwa kinyume na unachoamini, kukukasirisha au kupingana na wewe, ili mradi havunji sheria yoyote mtu huyo hatakiwi kuingiliwa kwenye uhuru wake wala kuminywa kutoa maoni yake.
Je, uko huru kusema mawazo yako?
Fanunua kidogo hapa MkuuUkila kiapo cha kutunza siri utagundua kuwa hauna uhuru wa kutoa maoni
Kuna njia nyingi kuchangia mabadiliko, sio lazima kila mtu awe mbele kabisa.... hapo hapo ulipo nyuma ya kibodi unaitendea haki nafasi hiyo?Naogopa maadui zangu wasije kuniharibia bora nikae kimya tu nishuhudie na kuchangamsha genge nyuma ya keyboard
Sio tu viapo wapo ambao hawajafanya viapo ila wanabugudhiwa pindi wakiwasema wale wanaolitendea taifa ndivyo sivyo kwa misaada wa wale wasiotumia weledi ila utashi,kwa msukumo wa wanasii hasa.Ukila kiapo cha kutunza siri utagundua kuwa hauna uhuru wa kutoa maoni
Wewe kama mwananchi una nafasi ya kurebisha hilo, endapo kila mmoja atasimama kwenye nafasi yakeKwa nchi yetu Uhuru unao ili mradi usihoji au kukosoa Utawala wa Chama pendwa!
😂😂😂uhuru vuguvugu... tunafanyaje kubadili hali hii?Uhuru upo ila sio uhuru kam uhuru yani uhuru uliopo ni uhuru uhuru tu maan ukijichanganya cha mtema utakiona😆
Tunafanyaje kubadili hali hii?Uhuru wa kutoa maoni ndiyo uliosababisha kupotea kwa memba mwenzetu hapa jf Ben Saanane.
Kuwa mwangalifu dhidi ya uhuru wako
Nje ya jukwaa hili je, uko huru kujimwaga kutoa maoni yako kwa kuzingatia kuwa huvunji sheria?ndio hasa humu jukwaani.
licha ya baadhi ya nyuzi kufutwa na kupingwa ban.
Kwa kiasi kikubwa sana kuna uhuru wa kusema upo.
Unafanyaje ili haki yako hii isibaki kwenye makaratasi?Hakuna uhuru wa kutoa maoni
Noma sana, hali hii inatakiwa kubadilika... unafikiri nini kinatakiwa kufanyika ili kila mtu awe huru kutoa maoni sehemu ile bila kuwa na hofu?Sio huru kivile inabidi nitumie mbinu za werevu wa nyoka, lahaja za lugha na tamathali za semi ili kuruka viunzi vya wasiopenda kukosolewaView attachment 2745494
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na maoni.. Lakini kila mtu ana haki ya kusikilizwa.. Lakini wajibu wa maoni yake anabeba mwenyeweNoma sana, hali hii inatakiwa kubadilika... unafikiri nini kinatakiwa kufanyika ili kila mtu awe huru kutoa maoni sehemu ile bila kuwa na hofu?