Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kwingine kwanza ni Lazima uangalie mbele, then nyuma, kushoto na kulia then ukiona salama unaweza kujiachia kutoa maoni kwa Uhuru kabisa.Nje ya jukwaa hili je, uko huru kujimwaga kutoa maoni yako kwa kuzingatia kuwa huvunji sheria?
Kwa ufupi nje ya Jamii forum kutoa Uhuru wa kutoa maoni upo kama kuvuka barabarani ya njia nane.
Lazma uwe makini, ukizembea unapotea