Uhuru hakuna hasa ukitoa maoni ambayo yako kinyume na watawala, na ndio maana unaona tume jichimbia huku jamiiforums ambako unaweza kutoa maoni kwa kadri unavyo penda japo haya wafikii moja kwa moja watawala
Sio huru kivile inabidi nitumie mbinu za werevu wa nyoka, lahaja za lugha na tamathali za semi ili kuruka viunzi vya wasiopenda kukosolewaView attachment 2745494
Nikifanya kile ninacho kifikiria, basi familia yangu itateseka na watoto wangu wataishi maisha magumu kisha mimi nitaozea gerezani na hakuna atakae baki kupaza saiuti na kutoa msaada kwenye familia yangu.
R.i.P Mawazo....😥
R.i.P Ben...😪