Ukiwa mtu mkubwa na ni mtumiaji wa vilevi , unatoka out au mambo yote home ?

Ukiwa mtu mkubwa na ni mtumiaji wa vilevi , unatoka out au mambo yote home ?

namfahamu mmoja alienda akatupia vyuma akaondoka kwa miguu.akaja kuokotwa maeneo flani na watu wengine ilikuwa msala sana aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaojielewa tunakunywa home. Ila kuchepuka tunaenda nje ya nchi
 
Mambo yao huyafanyja private...na

hata wakienda maeneo ya bata ni vigumu sana kugundua uwepo wao...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom