Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hendisamu wako[emoji12]Ilimradi uandike siredi
Ingekua wana ubaguzi kiasi hicho tunachozungumzia wasingekua ata wanawasajili.Tukisema tu timu wana ubaguzi kwasababu hakuna mchezaji mweusi itakua sio sawa kwasababu ata sisi tuna timu nyingi tu ambazo hazina warabu au wazungu.je nao tuite ni ubaguzi?.Junior Ajayi alicheza hiyo timu zaidi ya miaka mitano na aliyekuja kumkata ni kocha Pitso mosmane mweusi mwenzake wala sio menagment ya timu au wachezaji.Wachezaji wanskuja kwenye timu na kuondoka kwasababu mbalimbali kwahiyo tusijumlishe sana kua ni ubaguzi kwasababu hatujathibitisha.Japo Ubaguzi upo kila mahali ila tusipende sana kuuona wawenzetu tukasahau wa kwetu.Ila jamaa ni wabaguzi aisee, naona wanafyeka weusi wote hapo.