Ukiwa mwana-ccm katika siasa za vyuo ni tatizo

Ukiwa mwana-ccm katika siasa za vyuo ni tatizo

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa Daruso, silaha kubwa ya kumalizana imekuwa ni kuhusisha wagombea fulani na U-CCM. Inaonekana wazi kwamba katika siasa za vyuo hasa UDSM ni usaliti na kukosa uzalendo.
 
majina yote ya wagombea wa urais daruso ni wanachadema.tuilaumu chadema kwakuleta siasa vyuoni
 
Ni vyema wanafunzi wakazingatia masomo yao ili wajiandae kuwa wanasiasa wazuri hapo baadaye, waisaidie nchi hii. Endapo wataendekeza siasa vyuoni wataishia kufukuzwa na kushindwa kutimiza ndoto zao za kupata elimu ambayo ingesaidia taifa hapo baadaye. Waswahili wasema: 'mtumikie kafiri upate mradi wako'.
 
WAKULAUMIWA KTK HILI NI WOTE CDM & CCM , KWA KUPELEKA SIASA VYUONI ! BACK TO WANAFUNZI " WAACHE KUWA MAKUWADI KWA WANAUME WENZAO ie WATU WA VYAMA HIVYO ILI WATIMIZE MALENGO YAO " MWISHO WA SIKU WANAPOTEZA CHANCE KWA KUFUNGIWA VYUO LIKE UDOM , WAKATI WENZAO WAMETULIA MJENGONI WAKILA POSHO+ MISHAHARA MINONO+ A LOT OF BENEFITS , WAO WAKISUBIRIWA VIJIJINI KWA WAZAZI WAO AMBAO WENGI NI WAVUJA JASHO WALIOUZA KUKU ILI KUWAPELEKA NINYI ! HII NI KWA WENYE VICHWA "VILIVYO NA UBONGU TUUUUUUUU SIO VYENYE TOPE CHAFU"
 
WAKULAUMIWA KTK HILI NI WOTE CDM & CCM , KWA KUPELEKA SIASA VYUONI ! BACK TO WANAFUNZI " WAACHE KUWA MAKUWADI KWA WANAUME WENZAO ie WATU WA VYAMA HIVYO ILI WATIMIZE MALENGO YAO " MWISHO WA SIKU WANAPOTEZA CHANCE KWA KUFUNGIWA VYUO LIKE UDOM , WAKATI WENZAO WAMETULIA MJENGONI WAKILA POSHO+ MISHAHARA MINONO+ A LOT OF BENEFITS , WAO WAKISUBIRIWA VIJIJINI KWA WAZAZI WAO AMBAO WENGI NI WAVUJA JASHO WALIOUZA KUKU ILI KUWAPELEKA NINYI ! HII NI KWA WENYE VICHWA "VILIVYO NA UBONGU TUUUUUUUU SIO VYENYE TOPE
CHAFU"
Siasa chuo kikuu ilikuwepo toka enzi za chama kimoja, acheni majungu bana na migomo vyuoni haijaanza leo ilikuwepo
Na kwa taarifa zenu wanasiasa woote maarufu wa nchi hii wametoka hukokwenye migomo!
Hii ndo siasa ya bongo kama wewe haupo hivyo ujue siasa kwako ipo mbali sana!
 
HIVI HAMKUMBUKI udom WALIMCHANGIA ****** MAPESA YA KUCHUKULIA FOMU YA KUGOMBEA URAISI KWA TIKETI YA CCM NA HAOHAO BAADAYE KULIA KUWA PESA YA POSHO YA CHAKULA HAITOSHI! NI AJABU NA KWELI! sIASA VYUONI HAZIEPUKIKI MAANA WALIOKO VYUONI NI WATU WAZIMA NA WANA UPEO WA KUCHAMBUA PUMBA NA MCHELE! MAMBO YA KUSEMA 'VIJANA NI TAIFA LA KESHO' HII ILIKUWA NI KUWALINDA WAZEE WASIPENDA KUNG'ATUKA! IMAGINE KILE KIZEE CHA KIMATUMBI KILICHOJIFANYA KIKOMUNISTI NA KUKATAA DINI MPAKA LEO BADO KIMO KWENYE CHAMA CHA WENYE MAGAMBA!
 
Back
Top Bottom