Unakuwa umesamehewa dhambi tayariNimesikia kuna mtu anasema hadharani na wengine wanamsema wazi pia alikuwa mwizi kibaka anaibia watu mtaani ila sasa hivi katulia zake anatafuta riziki kwa njia halali.
Mtu wa aina hii hatakiwi kukamatwa na Polisi kupelekea mahakamani kushitakiwa?
Inabidi kuwe na ushahidi usio na shaka kiongozi kuthibitisha ni kweli aliiba.Uthibitisho gani kama anakiri mwenyewe?
Shitaka lazima liwe na MSHITAKI, vilevile na ushahidi usio na shaka. Ndipo anaweza kutiwa hatiani.Mtu wa aina hii hatakiwi kukamatwa na Polisi kupelekea mahakamani kushitakiwa?
Mshitaki wa makosa ya jinai ni Jamuhuri.Shitaka lazima liwe na MSHITAKI, vilevile na ushahidi usio na shaka. Ndipo anaweza kutiwa hatiani.
Otherwise ataruka kimanga na kusema hajasema hayo.
Ukimkamata itakubidi uithibitishie mahakama pasipo kuacha shaka yoyote kwamba alimbaka nani, alimbaka wapi, na upeleke vielelezo kama nguo zenye shahawa za mtuhumiwaKwa hiyo hata mtu akiwa mbakaji akiacha ubakaji akawa anasema hadharani hivyo hakamatwi?
mbakaji ni neno mtambuka, yaani mtu alikuwa anabaka huyu anabaka yule au inakuwaje? Neno mbakaji linatumika tu pale mtu huyo amekamatwa na kushtakiwa,vinginevyo huyo mtu anaitwa mzinzi. Na ni halali kuyasema maneno hayo kanisani kwa vile yuko ndani ya nyumba ya kuabudiwa,akitoka, akiyasema maneno hayo anakamatwa kwa upelelezi.Kwa hiyo hata mtu akiwa mbakaji akiacha ubakaji akawa anasema hadharani hivyo hakamatwi?
Jinai haifi bro endapo ikithibitika pasi na Shaka kama alifanya uhalifu huo hata kama ni miaka 50 imepita anatiwa nguvuni.Kwa hiyo hata mtu akiwa mbakaji akiacha ubakaji akawa anasema hadharani hivyo hakamatwi?