Nalo neno mkuuπ₯°
Hili nalo ni tangazo kwa mlango mwngine.Kuna mtu ameniangaliaa akaamua kusema " We ni mzuri ila usiringe", nikamwambia naringaje wakati niko single, bas hajaamini kabisa.
Yani kutokana na muonekano wangu, ni ngumu sana kueleweka kua niko single na sina mtu, kumbe hawajui kuna wati mtu unaamua kua busy na mambo yako na kutulia.
Ukiwa mzuri halafu unajiamini, unakua hubabaishi hata watu wakikushobokea, mana unajijua ni mzuri na uko busy na mambo yako.
Kwa sasa nimeamua kuwaringia tu, yani sina habari kabisa.
Joined 2017 huyo atakuwa ni mshangazi anajifariji.Hili nalo ni tangazo kwa mlango mwngine.
Wanakuja ila usikaze sana maana muda sii mrefu utaanza kutafuta mwanaume yoyote sifa kuu awe anapumua.
Wanawake mna vituko sana.
owa mtengeneza chanjo ya ebora vip? Mbona uko huku badala ya kujifungia maabara? Hahahahhhhahhha! Au ulishaenda kumuona daktari?Weka ka picha
Wakiume huyo mkuu ila ndio wale wenye both gender.Wanawake mna vituko sana.
mshangazi huu unawachora tu.Wakiume huyo mkuu ila ndio wale wenye both gender.
Hence proved mjomba.
ππππ
Sawa ni mzuri lakini ajue uzuri wa mwanamke ni kama maua!! usikaze sana siku moja utajikuta umenyauka!Hongera kwa kuwa mzuri