Ukiwa mzuri, ukisema upo single watu hawaamini kabisa

Ukiwa mzuri, ukisema upo single watu hawaamini kabisa

Wee kuwq buzzu na DA mzuri haszu

Aliwah kuonyesha picha yake , selfie sehem ya uso tu huku kaziba macho na mkono.
Mtoto ni mweupe. Hana ndevu hata moja.

Hata mustach ule wa kuibia hana.
Bila shaka atakuwa ni mpare au mnyaturu.

Mwanaume gan ukinawa uso ukishika kidevu kinateleza kama embe.
 
Kuna mtu ameniangaliaa akaamua kusema " We ni mzuri ila usiringe", nikamwambia naringaje wakati niko single, bas hajaamini kabisa.

Yani kutokana na muonekano wangu, ni ngumu sana kueleweka kua niko single na sina mtu, kumbe hawajui kuna wati mtu unaamua kua busy na mambo yako na kutulia.

Ukiwa mzuri halafu unajiamini, unakua hubabaishi hata watu wakikushobokea, mana unajijua ni mzuri na uko busy na mambo yako.

Kwa sasa nimeamua kuwaringia tu, yani sina habari kabisa.
Au wanafikri mwanaume wako ana pesa sana
 
Back
Top Bottom