Ukiwa mzuri, ukisema upo single watu hawaamini kabisa

Ukiwa mzuri, ukisema upo single watu hawaamini kabisa

Mi nimeambiwa nitag, sasa kuliko kupiga nyeto kujiumiza ni bora ukajipatia kiburudisho..!! 😹😹😹
Hiyo sio kiburudisho, hiyo n laana, bora niende jehanamu kuchoma nyama kwa kosa la nyeto ila sio kula shoga 😂
 
Wadada mliokosa soko mnasapotiana, poleni sana
Mmmh Shoo, mbona mie sina baya na wee kabisaa.
Wee ringaaa dyadyaaa, uzuri unao na unatamba naoo.
Soko unalo wee mwayaaa, wakati ni wako huu.
😂😂😂😂😂😂
 
“Ukitaka kupigana njoo, njoo sasa nikuonyeshe show” 😹😹😹

We kima mpaka taarabu za mjini unazijua?
Haszu inatakiwa upigwe mshedede haiwezekani kidume uringe kutuzidi dada zako. Tena unatamba kwa mikogo mjinga wewee 🤣😹😹
😂😂😂😂😂😂 mnanimaliza mbavu zangu kwa kuchekaa,
Woiiiiiiih
 
Kusema kweli Nina kucha nzuri Sana Sana sema kingine
Kucha na k .hunifikii hata robo
K tu ina kilo tatu.kibupa haswaa kiko juu juu kama chura alovimbiwa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila waja wa JF, siwawezi kwa kweli.
Khaaaah.
 
Hawa ndo wale wanaojisokomeza matango na ndizi bukoba kwenye nanilino.

Kwamba kujichukulia sheria mkononi sio kwamba ana nyetuka ila anajilombesha na madildo.🤔🤔🤔

Okay inawezekana. Ndio maana yuko Single.😎😎😎
 
Back
Top Bottom