Ukiwa na 10,000/= ya Kenya ni sawa Na 227,766/= ya Tanzania

Kwahyo nkienda kule nkasaka kama laki8 nkirud bongo?
 
Ukija Tz na 800,000/= ya Kenya ni sawa na 18,080,000/=....
Uchumi wetu unakuwa. Wa Kenya ume stucky
Oman hela yao ina thamani kuliko dola na paund na euro je uchumi wa Oman ni mkubwa kuliko wa? China hela yao ni sawa tu kama Kenya je Kenya wapo juu kuliko China? kwa mlinganisho wa pesa umekosea sana uchumi unapimwa kwa mambo mengi sana..Ni kweli Kenya wametupita kwa uchumi..
 
Uchumi wetu unakua, lakini fedha yetu inakosa ubora.
Pesa ni pillar kuu kwenye uchumi.
Au unataka kusema uchumi unakuwa kwenye barabara.
 
Uchumi wetu unakua, lakini fedha yetu inakosa ubora.
Pesa ni pillar kuu kwenye uchumi.
Au unataka kusema uchumi unakuwa kwenye barabara.
Pesa ina umuhimu wake lakini uchumi unabebwa na mambo mengi sana..Kenya pamoja nakuwa na uchumi mkubwa Africa mashariki lakini bado maisha ya wananchi wa kawaida ni magumu kupita Maelezo uwezi kulinganisha na ya hapa Tz au Uganda
 
Kenya wana maisha mabovu eeh.
 
Mkuu Usipambane na HKL FC hawa wanafikiri Uchumi unashuka/kupanda kwa factor moja
 
Kwa hiyo unataka kulinganisha tanzania na USA au China? akili zenu mmezifukia wapi nyie?
 
Embu linganisha mshahara wa kazi ya uku iwe sawa na ya mtu wa kule kiwango cha mshahara mfano kazi flani Tz analipwa Sh flani kwa mwezi na kule kenya kazi hiyo hiyo muda ule ule wa kazi kule anapokea sh ngap???
 
hivi watanzania ni lini tutaisgi maisha yetu bila kujilinganisha na wakenya mbona wao wako peace na nchi yao hawafuatilii ya wezao
 
Embu linganisha mshahara wa kazi ya uku iwe sawa na ya mtu wa kule kiwango cha mshahara mfano kazi flani Tz analipwa Sh flani kwa mwezi na kule kenya kazi hiyo hiyo muda ule ule wa kazi kule anapokea sh ngap???
Mkuu ukichukua mshahara wa kule ukaubadilisha kuwa pesa ya tz akaunti inakuwa njema.
Bahati nzuri Mimi niliwah kufanya kazi Kenya miaka 3 iliyopita.
Ilikuwa nikichukua mshahara wa kule nikija nao huku nilikuwa natesa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…