Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oman hela yao ina thamani kuliko dola na paund na euro je uchumi wa Oman ni mkubwa kuliko wa? China hela yao ni sawa tu kama Kenya je Kenya wapo juu kuliko China? kwa mlinganisho wa pesa umekosea sana uchumi unapimwa kwa mambo mengi sana..Ni kweli Kenya wametupita kwa uchumi..Ukija Tz na 800,000/= ya Kenya ni sawa na 18,080,000/=....
Uchumi wetu unakuwa. Wa Kenya ume stucky
Uchumi wetu unakua, lakini fedha yetu inakosa ubora.Oman hela yao ina thamani kuliko dola na paund na euro je uchumi wa Oman ni mkubwa kuliko wa? China hela yao ni sawa tu kama Kenya je Kenya wapo juu kuliko China? kwa mlinganisho wa pesa umekosea sana uchumi unapimwa kwa mambo mengi sana..Ni kweli Kenya wametupita kwa uchumi..
Uchumi unakuwa kwa 7%
Tuko vizuri kwenye Hatari.
Pesa ina umuhimu wake lakini uchumi unabebwa na mambo mengi sana..Kenya pamoja nakuwa na uchumi mkubwa Africa mashariki lakini bado maisha ya wananchi wa kawaida ni magumu kupita Maelezo uwezi kulinganisha na ya hapa Tz au UgandaUchumi wetu unakua, lakini fedha yetu inakosa ubora.
Pesa ni pillar kuu kwenye uchumi.
Au unataka kusema uchumi unakuwa kwenye barabara.
Kenya wana maisha mabovu eeh.Pesa ina umuhimu wake lakini uchumi unabebwa na mambo mengi sana..Kenya pamoja nakuwa na uchumi mkubwa Africa mashariki lakini bado maisha ya wananchi wa kawaida ni magumu kupita Maelezo uwezi kulinganisha na ya hapa Tz au Uganda
Ukija Tz na 800,000/= ya Kenya ni sawa na 18,080,000/=....
Uchumi wetu unakuwa. Wa Kenya ume stucky
Hahababhaa nimechekaaaaaUkija Tz na 800,000/= ya Kenya ni sawa na 18,080,000/=....
Uchumi wetu unakuwa. Wa Kenya ume stucky
hahhaahhaa.....wanatuonea gereKenya wana maisha mabovu eeh.
Mkuu Usipambane na HKL FC hawa wanafikiri Uchumi unashuka/kupanda kwa factor mojaOman hela yao ina thamani kuliko dola na paund na euro je uchumi wa Oman ni mkubwa kuliko wa? China hela yao ni sawa tu kama Kenya je Kenya wapo juu kuliko China? kwa mlinganisho wa pesa umekosea sana uchumi unapimwa kwa mambo mengi sana..Ni kweli Kenya wametupita kwa uchumi..
Kwa hiyo unataka kulinganisha tanzania na USA au China? akili zenu mmezifukia wapi nyie?Oman hela yao ina thamani kuliko dola na paund na euro je uchumi wa Oman ni mkubwa kuliko wa? China hela yao ni sawa tu kama Kenya je Kenya wapo juu kuliko China? kwa mlinganisho wa pesa umekosea sana uchumi unapimwa kwa mambo mengi sana..Ni kweli Kenya wametupita kwa uchumi..
Kulinganisha "democracy" na "dictatorship" Ni shiiida!hivi watanzania ni lini tutaisgi maisha yetu bila kujilinganisha na wakenya mbona wao wako peace na nchi yao hawafuatilii ya wezao
Mkuu ukichukua mshahara wa kule ukaubadilisha kuwa pesa ya tz akaunti inakuwa njema.Embu linganisha mshahara wa kazi ya uku iwe sawa na ya mtu wa kule kiwango cha mshahara mfano kazi flani Tz analipwa Sh flani kwa mwezi na kule kenya kazi hiyo hiyo muda ule ule wa kazi kule anapokea sh ngap???