Ukiwa na hela...

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Huyu aliyegundua pesa jamani sijui aliwazaga nini manake hii kitu inapendwa sana na dada zetu. Sijui kuna siri gani kati ya wanawake na pesa,?? Yaani ukiwa na pesa unaweza fanya chochote kwa mwanamke na asikupinge.

1.ukiwa na PESA unaweza kumwambia mwanamke lia na akalia kweli[emoji2]

2. Ukiwa na PESA unaweza mwambia mwanamke cheka, na akacheka kama chizi[emoji1787]

3. Ukiwa na PESA unaweza mwambia dada cheza na akacheza

4.Ukiwa na PESA ukimwambia dada nizalie mtoto na akafanya bila ubishi

5.

6......

Ngoja niishie hapa,
 
Yea ubwabwa na maharage ni mtamu ila umewahi kua unapiga puchu ukiwa unakaribia kumwaga mchumba anapiga simu kukuambia anakuja?

Ile feeling ya kujua you gon bang somebody huku ukiepuka guilty ya puchu unaionaje?
 
Alikujaga mmoja kama Polisi wa kwenye muvi yaani stering nimemalizia jambazi la mwisho eti nae ndo anatokea na king'ora cha surprise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…