Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Huyu aliyegundua pesa jamani sijui aliwazaga nini manake hii kitu inapendwa sana na dada zetu. Sijui kuna siri gani kati ya wanawake na pesa,?? Yaani ukiwa na pesa unaweza fanya chochote kwa mwanamke na asikupinge.
1.ukiwa na PESA unaweza kumwambia mwanamke lia na akalia kweli[emoji2]
2. Ukiwa na PESA unaweza mwambia mwanamke cheka, na akacheka kama chizi[emoji1787]
3. Ukiwa na PESA unaweza mwambia dada cheza na akacheza
4.Ukiwa na PESA ukimwambia dada nizalie mtoto na akafanya bila ubishi
5.
6......
Ngoja niishie hapa,