Ukiwa na mahusiano na nurse (nesi) uwe na moyo mgumu

Sawasawa na kuoa mtu wa sales. Atakwambia nipo kwa mteja sasa sijui kila siku utauliza wa kike au wa kiume?

Bado nawaza tu nipate mwalimu mambo yasiwe mengi
Bora walimu hawana night shift...Wala Safari maana hata umishimuta kwamba atasafiri kikazi,kapuya alifuta
 
Na Mimi nikimpa ushahidi wangu kuwa niliwahi kumkuta dem aliezalishwa anabikra ndo labda anaweza kuelewa feki zipo

GunFire
Hahaha nouuma sanaa,,mimi kuna ndugu yangu ana mke ni Nesi ,daaah namuonea huruma sanaaa ndugu yangu maana kwa ninayoyaona si mchezoooo.
Wacha nikae kimyaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utasalimika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimu wengi wametulia na wanajali ndoa zao
Kuna aina ya kaz nayo ni changamoto

GunFire
 
Na alikuwa akijua wewe ni MCHEZA KAMARI?
 
Mazingira ya kazi pia huwa yanashawishi,ukitaka usiteseke sana,tafuta mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…