Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
@MCHEZAKAMARI endelea kucheza kamari achana na mapenzi
Sent using IPhone X
Sent using IPhone X
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora walimu hawana night shift...Wala Safari maana hata umishimuta kwamba atasafiri kikazi,kapuya alifutaSawasawa na kuoa mtu wa sales. Atakwambia nipo kwa mteja sasa sijui kila siku utauliza wa kike au wa kiume?
Bado nawaza tu nipate mwalimu mambo yasiwe mengi
Mkuu Nimesema baada ya ww kumkumbuka hadi kumwanzishia uziHayo umesema ww
GunFire
Hahaha nouuma sanaa,,mimi kuna ndugu yangu ana mke ni Nesi ,daaah namuonea huruma sanaaa ndugu yangu maana kwa ninayoyaona si mchezoooo.Na Mimi nikimpa ushahidi wangu kuwa niliwahi kumkuta dem aliezalishwa anabikra ndo labda anaweza kuelewa feki zipo
GunFire
[emoji23][emoji23]Walimu wana unafuu sana, ndiyomaana hata wanasiasa wengi wanakimbilia huko, japo baadhi yao siyo waaminifu sana, ila wana unafuu, wanalinda maadili.
Lakini manesi,nina ekspiriensi nao sana, kuanzia ndugu zangu wa kike hadi mademu zangu na mademu wa marafiki zangu, nimekulia kotazi za watu wa afya, manesi ni wahuni sana, usisikilize ilewanasema eti 'NI TABIA YA MTU TU', hiyo ni kujisafisha tu uingie KING, wachafu sana hao, na nadhani ndiyo wanaongoza kufanya mapenzi maofisini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasalimika?Kuna ambaye nmepanga nae sehem moja,analo kalio kuuubwa cjui ndo wanaita
wowowoooo,bac yy n kupitisha tu wanaume ndan,leo mfupi kesho mrefu,juz kat kaanza tabia za kunitega tega na hilo kalioo,nkaweka ngumu maana najua kodi ya pango inaisha na huk alikuja kusoma xo hela ya kodi anadanga na salary yake ndo analipia fee
Walimu wengi wametulia na wanajali ndoa zaoWalimu wana unafuu sana, ndiyomaana hata wanasiasa wengi wanakimbilia huko, japo baadhi yao siyo waaminifu sana, ila wana unafuu, wanalinda maadili.
Lakini manesi,nina ekspiriensi nao sana, kuanzia ndugu zangu wa kike hadi mademu zangu na mademu wa marafiki zangu, nimekulia kotazi za watu wa afya, manesi ni wahuni sana, usisikilize ilewanasema eti 'NI TABIA YA MTU TU', hiyo ni kujisafisha tu uingie KING, wachafu sana hao, na nadhani ndiyo wanaongoza kufanya mapenzi maofisini.
Sent using Jamii Forums mobile app
nmeshasalimik mkuu due huo mzgo nmemuachia dogo ambaye amekuja kujikarantin iv
Mpaka nmepaliwa na ugali [emoji23] [emoji23]"Yule ni boss wangu namuheshimu sana.Istoshe mbaba mtu mzima ana mke wake.Koh!Mtu mzima nimpeleke wapi" Alisikika Nesi.
Na alikuwa akijua wewe ni MCHEZA KAMARI?Wakuu katika harakati zangu niliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja ambae ni Nesi huyu nili-plan had kumuoa ili tusaidiane kwenye maisha.
Hatua za mwisho za mahusiano yetu alianza kunidanganya yupo shift za usiku kila siku, lakini hali ilizidi hadi nikahisi hatari nikiwa kama binadamu mwenye moyo nilianza kumchunguza, siku 1 nilienda sehemu anayofanya kazi night lakini wale wafanyakazi wenzake wakaniambia hayupo na siku hiyo alisomeka off duty, ilibidi niondoke tu nikakaa kimya.
Asubuhi nikamuuliza jana ulikuwa kazini? Akaanza kunijibu "kwani sikukwambia kuwa nipo shift ya usiku? Au unaniona malaya? "
Ilibidi nitumie busara za kiume tu nikamwambia samahani nilisahau, siku zilienda mapenzi yakapungua kumbe alikuwa anatembea na mkuu wake wa kazi. Nilijaribu tena kwenda night kwa baadhi ya siku zingine zilizofata na baadae nilichoka.
Siku moja nikamwita nikamueleza ukweli wote na vithibitisho vya kutosha baadae nikamwambia "kama tulivyopendana kwa wema naomba mapenzi yetu nayo yaishe kwa wema, nilikupenda sana lakini kwa sasa mapenzi yamegonga ukuta. Naomba uendelee na maisha yako nami niendelee na maisha yangu"
Aliniomba msamaha lakini nilishindwa kabisa kumsamehe na nilishukuru kwa kuyatambua yale mapema pengne ningekuja kuyatambua wakati tumeoana ingekuwa ni msalaba mzito zaidi kwangu
GunFire
Hahaha nouuma sanaa,,mimi kuna ndugu yangu ana mke ni Nesi ,daaah namuonea huruma sanaaa ndugu yangu maana kwa ninayoyaona si mchezoooo.
Wacha nikae kimyaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app