Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
ha ha ha suluhisho ni kuoa polygon tu,ili baharia akimtazama asitamani tena kumgeukiaKwani MKUU kutembea na MGONJWA NDY UCHAFU? vipi SECRETARY anayetembea na BOSS WAKE? vipi mwalimu anayetembea na MZAZI WA MWANAFUNZI WAKE?VIPI BOSS WA KIKE anapotembea na DEREVA WAKE? VIPI MKE ANAPOTEMBEA NA HOUSE BOY? vipi MFANYAKAZI WA BANK anapotembea na mteja?MAPENZI NI POPOTE msiwaseme VIBAYA MANESI,,,wakati WANAWAKE WOTE WANA TABIA MOJA. ,,,MIMI SIONI tofauti ya NURSE WA WANAWAKE WENGINE...NARUDIA TENA KUOA MWANAMKE MFANYAKAZI HESABU MAUMIVU sawa na HAO MANESI MNAOWAANIKA HUMU...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu za siku ??mahusiano hayajawahi kumuacha mtu salama...kikubwa usiishi kwa kukalili kuwa manesi ni wabaya mbaya ni mtu na sio kazi..yake kuna manesi wazuri wenye tabia nzuri tu na wametulia pia...hivyo kazi haiwezi kufanya utuaminishe kuwa manesi wote tabia yao ni moja...kuna walimu pia wanaliza watu...kuna ma hr wanaliza pia nazani sio kazi bali ni watu tu na tabia zao mbovu mbovu
za siku tena...?Mkuu za siku ??
Ndiyo ni kitambo sijakutana na comments zako humu, au labda tunapishana majukwaa.za siku tena...?
nipo...ndugu yangu huwa nachungulia tu bila kucomment chochoteNdiyo ni kitambo sijakutana na comments zako humu, au labda tunapishana majukwaa.
Body body bodyWakuu katika harakati zangu niliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja ambae ni Nesi huyu nili-plan had kumuoa ili tusaidiane kwenye maisha.
Hatua za mwisho za mahusiano yetu alianza kunidanganya yupo shift za usiku kila siku, lakini hali ilizidi hadi nikahisi hatari nikiwa kama binadamu mwenye moyo nilianza kumchunguza, siku 1 nilienda sehemu anayofanya kazi night lakini wale wafanyakazi wenzake wakaniambia hayupo na siku hiyo alisomeka off duty, ilibidi niondoke tu nikakaa kimya.
Asubuhi nikamuuliza jana ulikuwa kazini? Akaanza kunijibu "kwani sikukwambia kuwa nipo shift ya usiku? Au unaniona malaya? "
Ilibidi nitumie busara za kiume tu nikamwambia samahani nilisahau, siku zilienda mapenzi yakapungua kumbe alikuwa anatembea na mkuu wake wa kazi. Nilijaribu tena kwenda night kwa baadhi ya siku zingine zilizofata na baadae nilichoka.
Siku moja nikamwita nikamueleza ukweli wote na vithibitisho vya kutosha baadae nikamwambia "kama tulivyopendana kwa wema naomba mapenzi yetu nayo yaishe kwa wema, nilikupenda sana lakini kwa sasa mapenzi yamegonga ukuta. Naomba uendelee na maisha yako nami niendelee na maisha yangu"
Aliniomba msamaha lakini nilishindwa kabisa kumsamehe na nilishukuru kwa kuyatambua yale mapema pengne ningekuja kuyatambua wakati tumeoana ingekuwa ni msalaba mzito zaidi kwangu
GunFire
Ni kweli, naona siku hizi wana mmu wengi wamehamia kwenye majukwaa mengine.nipo...ndugu yangu huwa nachungulia tu bila kucomment chochote
Kaimba nani na naniBody body body
Bedroom remix mmeisikia?
Harmonize na wasanii wengine lukukiKaimba nani na nani
Naunga mkono hoja mkuu. Watu wanaongea utafikiri mapenzi yanafanywa usiku tuu. Kwamba kwa sababu nesi yupo night shift basi analiwa, ila mwalimu sababu unalala nae usiku basi haliwi. Kwani kuwepo vitanda wodini ndo Nini??..vitanda huwa vipo wodini tu??..Mkuu kuna tofauti gani na kuoa MWANAMKE MFANYAKAZI WA KAWAIDA?Mimi nazungumzia nafasi ile ile anayopata NURSE ,,,NDY HIYO HIYO ANAYOPATA MFANYAKAZI WA KAWAIDA... Mimi nimetembea na WAKE ZA WATU KIBAO,,tena WANATOKEA KAZINI,,,Wanakuja KWNGU..ASUBUHI MUMEWE ANAMSHUSHA KAZINI..baadae anatoka ANAKUJA KWNGU....jioni MUMEWE ANAMPITIA KAZINI WANARUDI WOTE HOME,,,MSIJIDANGANYE KUPIGIWA KUKO PALE PALE..MSIJIFARIJI NA MANESI..UKWELI MCHUNGU
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja mkuu. Watu wanaongea utafikiri mapenzi yanafanywa usiku tuu. Kwamba kwa sababu nesi yupo night shift basi analiwa, ila mwalimu sababu unalala nae usiku basi haliwi. Kwani kuwepo vitanda wodini ndo Nini??..vitanda huwa vipo wodini tu??..
Labda mtu anishawishi kwamba masomo ya nursing yanawataka manesi kuwa Malaya automatically, la sivyo hoja yenu dhaifu Sana. Kifupi ofisi karibu zote watu wanakuwa na mahusiano, iwe ni mke wa mtu au mme wa mtu haijalishi, chunguza utaona.
Kifupi ukiamua kuoa jiandae kwa lolote; awe mama wa nyumbani au mfanyakazi Kama ana tabia hiyo umeumia. Wauza mikaa, ma houseboy, wauza genge n.k wanakula Sana mama wa nyumbani so Omba tu Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Oohh sawaHarmonize na wasanii wengine lukuki
Kesho nampigia Ummy Mwalimu na kukuripot kuwa una Korona na unataka kuja Kansas city kujificha..Oohh sawa
kumbe hata mm sikujua km ni mzoefu na maisha hata huku upo?Nipo kotekote mimi kama mshambuliaji nafunga magoli kwa mguu wa kulia,kushoto na kichwa.
ha ha ha suluhisho ni kuoa polygon tu,ili baharia akimtazama asitamani tena kumgeukia
AHSANTE KWA KULIONA HILO MKUU,,,nadhani watu hapa WANAJIFARIJI KWA KUWATUPIA LAWAMA MANURSE,,,wamesahau KWAMBA WANAWAKE WOTE WANA TABIA ZAINAZOFANANA....pia Nina mfano HAI,,,nimekuwa NIKIWAGEGEDA WAKE ZA WATU,,tena ni WAFANYAKAZI huko MJINI,,,na MARA KIBAO WAUME ZAO WANAMPIGIA SIMU,,,MKEWE YUPO KWANGU TENA KALIKALIA DUSHE ,,anamjibu MUMEWE YUPO KWA BOSS,,,atamcheki BAADAE...MWANAMKE AKITAKA LAKE HASHINDWI...akitoka hapo ANARUDI OFISINI,,AU HOME...KISHALIWA.,TENA NAGEGEDA HASWA,,SINA MASIHARA KWENYE SEKTA YA KUGEGEDA, ..MSIWAONEE NURSE BURE.....ukweli MCHUNGU....Naunga mkono hoja mkuu. Watu wanaongea utafikiri mapenzi yanafanywa usiku tuu. Kwamba kwa sababu nesi yupo night shift basi analiwa, ila mwalimu sababu unalala nae usiku basi haliwi. Kwani kuwepo vitanda wodini ndo Nini??..vitanda huwa vipo wodini tu??..
Labda mtu anishawishi kwamba masomo ya nursing yanawataka manesi kuwa Malaya automatically, la sivyo hoja yenu dhaifu Sana. Kifupi ofisi karibu zote watu wanakuwa na mahusiano, iwe ni mke wa mtu au mme wa mtu haijalishi, chunguza utaona.
Kifupi ukiamua kuoa jiandae kwa lolote; awe mama wa nyumbani au mfanyakazi Kama ana tabia hiyo umeumia. Wauza mikaa, ma houseboy, wauza genge n.k wanakula Sana mama wa nyumbani so Omba tu Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai hoja yako mkuu, lakini namashaka na hiyo ofisi. Muda wa kazi we unamgegeda, basi ofisi nyingine nzuri sana. Ziko loose mno, mtu anatoka at any timeAHSANTE KWA KULIONA HILO MKUU,,,nadhani watu hapa WANAJIFARIJI KWA KUWATUPIA LAWAMA MANURSE,,,wamesahau KWAMBA WANAWAKE WOTE WANA TABIA ZAINAZOFANANA....pia Nina mfano HAI,,,nimekuwa NIKIWAGEGEDA WAKE ZA WATU,,tena ni WAFANYAKAZI huko MJINI,,,na MARA KIBAO WAUME ZAO WANAMPIGIA SIMU,,,MKEWE YUPO KWANGU TENA KALIKALIA DUSHE ,,anamjibu MUMEWE YUPO KWA BOSS,,,atamcheki BAADAE...MWANAMKE AKITAKA LAKE HASHINDWI...akitoka hapo ANARUDI OFISINI,,AU HOME...KISHALIWA.,TENA NAGEGEDA HASWA,,SINA MASIHARA KWENYE SEKTA YA KUGEGEDA, ..MSIWAONEE NURSE BURE.....ukweli MCHUNGU....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi MKUU MFANYAKAZI HAUMWI?MFANYAKAZI HANA EMERGENCY? hivi kama MKEO KAZINI HAJAFIKA WEWE utahakikisha vipi kama KAFIKA AU HAJAFIKA KAZINI ?AU ANA EMERGENCY?NI WANAWAKE WANGAPI WANATOKA KAZINI wanakuwa kwenye MAREJESHO YA VIKUNDI?HUO MUDA UNATOKA WAPI?MKUU Mimi nishakuwa nao,,,WAALIMU NA HATA HAO WAAOFISINI...kuna JAMAA ALIKUWA ANAMSHUSHA MKEWE SHULE NA GARI..jioni ANAMPITIA KURUDI NYUMBANI..basi AKIMSHUSHA MWALIMU ataingia SHULE,,ana sign BAADAE ANAKUJA KWANGU,,, SAA kumi ANAKUWA maeneo ya shule ,,MUMEWE SAA kumi na moja ANAMPITIA kurudi HOME,,,jamaa hajashtuka hata Mara moja.....NIMEGEGEDA MWAKA MZIMA,,YUPO MWANAMKE mwingine ANAKAA NYUMBA JIRANI,NILIKUWA NAMGEGEDA,,,,SAA KUMI NA MOJA anatoka ANAINGIA KWANGU..jioni SAA MOJA anachomoka KURUDI KWAKE,, KUMBE KAZINI ANA OFF MUMUWE HAJUWI..mkuu WANAWAKE WANA MBINU BALAA....Sikatai hoja yako mkuu, lakini namashaka na hiyo ofisi. Muda wa kazi we unamgegeda, basi ofisi nyingine nzuri sana. Ziko loose mno, mtu anatoka at any time
Sent using Jamii Forums mobile app