Ukiwa na mahusiano na nurse (nesi) uwe na moyo mgumu

Ukiwa na mahusiano na nurse (nesi) uwe na moyo mgumu

Kwani MKUU kutembea na MGONJWA NDY UCHAFU? vipi SECRETARY anayetembea na BOSS WAKE? vipi mwalimu anayetembea na MZAZI WA MWANAFUNZI WAKE?VIPI BOSS WA KIKE anapotembea na DEREVA WAKE? VIPI MKE ANAPOTEMBEA NA HOUSE BOY? vipi MFANYAKAZI WA BANK anapotembea na mteja?MAPENZI NI POPOTE msiwaseme VIBAYA MANESI,,,wakati WANAWAKE WOTE WANA TABIA MOJA. ,,,MIMI SIONI tofauti ya NURSE WA WANAWAKE WENGINE...NARUDIA TENA KUOA MWANAMKE MFANYAKAZI HESABU MAUMIVU sawa na HAO MANESI MNAOWAANIKA HUMU...

Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha suluhisho ni kuoa polygon tu,ili baharia akimtazama asitamani tena kumgeukia
 
mahusiano hayajawahi kumuacha mtu salama...kikubwa usiishi kwa kukalili kuwa manesi ni wabaya mbaya ni mtu na sio kazi..yake kuna manesi wazuri wenye tabia nzuri tu na wametulia pia...hivyo kazi haiwezi kufanya utuaminishe kuwa manesi wote tabia yao ni moja...kuna walimu pia wanaliza watu...kuna ma hr wanaliza pia nazani sio kazi bali ni watu tu na tabia zao mbovu mbovu
 
Mkuu za siku ??
 
Wakuu katika harakati zangu niliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja ambae ni Nesi huyu nili-plan had kumuoa ili tusaidiane kwenye maisha.

Hatua za mwisho za mahusiano yetu alianza kunidanganya yupo shift za usiku kila siku, lakini hali ilizidi hadi nikahisi hatari nikiwa kama binadamu mwenye moyo nilianza kumchunguza, siku 1 nilienda sehemu anayofanya kazi night lakini wale wafanyakazi wenzake wakaniambia hayupo na siku hiyo alisomeka off duty, ilibidi niondoke tu nikakaa kimya.

Asubuhi nikamuuliza jana ulikuwa kazini? Akaanza kunijibu "kwani sikukwambia kuwa nipo shift ya usiku? Au unaniona malaya? "

Ilibidi nitumie busara za kiume tu nikamwambia samahani nilisahau, siku zilienda mapenzi yakapungua kumbe alikuwa anatembea na mkuu wake wa kazi. Nilijaribu tena kwenda night kwa baadhi ya siku zingine zilizofata na baadae nilichoka.

Siku moja nikamwita nikamueleza ukweli wote na vithibitisho vya kutosha baadae nikamwambia "kama tulivyopendana kwa wema naomba mapenzi yetu nayo yaishe kwa wema, nilikupenda sana lakini kwa sasa mapenzi yamegonga ukuta. Naomba uendelee na maisha yako nami niendelee na maisha yangu"

Aliniomba msamaha lakini nilishindwa kabisa kumsamehe na nilishukuru kwa kuyatambua yale mapema pengne ningekuja kuyatambua wakati tumeoana ingekuwa ni msalaba mzito zaidi kwangu

GunFire
Body body body

Bedroom remix mmeisikia?
 
Mkuu kuna tofauti gani na kuoa MWANAMKE MFANYAKAZI WA KAWAIDA?Mimi nazungumzia nafasi ile ile anayopata NURSE ,,,NDY HIYO HIYO ANAYOPATA MFANYAKAZI WA KAWAIDA... Mimi nimetembea na WAKE ZA WATU KIBAO,,tena WANATOKEA KAZINI,,,Wanakuja KWNGU..ASUBUHI MUMEWE ANAMSHUSHA KAZINI..baadae anatoka ANAKUJA KWNGU....jioni MUMEWE ANAMPITIA KAZINI WANARUDI WOTE HOME,,,MSIJIDANGANYE KUPIGIWA KUKO PALE PALE..MSIJIFARIJI NA MANESI..UKWELI MCHUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja mkuu. Watu wanaongea utafikiri mapenzi yanafanywa usiku tuu. Kwamba kwa sababu nesi yupo night shift basi analiwa, ila mwalimu sababu unalala nae usiku basi haliwi. Kwani kuwepo vitanda wodini ndo Nini??..vitanda huwa vipo wodini tu??..
Labda mtu anishawishi kwamba masomo ya nursing yanawataka manesi kuwa Malaya automatically, la sivyo hoja yenu dhaifu Sana. Kifupi ofisi karibu zote watu wanakuwa na mahusiano, iwe ni mke wa mtu au mme wa mtu haijalishi, chunguza utaona.
Kifupi ukiamua kuoa jiandae kwa lolote; awe mama wa nyumbani au mfanyakazi Kama ana tabia hiyo umeumia. Wauza mikaa, ma houseboy, wauza genge n.k wanakula Sana mama wa nyumbani so Omba tu Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu ni prone kuwa cheated na mpenzie.Tunasema Kuna kada fulani ambayo ina mpa uhuru sana kucheat.
Naunga mkono hoja mkuu. Watu wanaongea utafikiri mapenzi yanafanywa usiku tuu. Kwamba kwa sababu nesi yupo night shift basi analiwa, ila mwalimu sababu unalala nae usiku basi haliwi. Kwani kuwepo vitanda wodini ndo Nini??..vitanda huwa vipo wodini tu??..
Labda mtu anishawishi kwamba masomo ya nursing yanawataka manesi kuwa Malaya automatically, la sivyo hoja yenu dhaifu Sana. Kifupi ofisi karibu zote watu wanakuwa na mahusiano, iwe ni mke wa mtu au mme wa mtu haijalishi, chunguza utaona.
Kifupi ukiamua kuoa jiandae kwa lolote; awe mama wa nyumbani au mfanyakazi Kama ana tabia hiyo umeumia. Wauza mikaa, ma houseboy, wauza genge n.k wanakula Sana mama wa nyumbani so Omba tu Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo kotekote mimi kama mshambuliaji nafunga magoli kwa mguu wa kulia,kushoto na kichwa.
kumbe hata mm sikujua km ni mzoefu na maisha hata huku upo?
swali nje ya mada vp Mabaharia eti wana nyumba ndogo kila port au wanasafiri nao
ni kweli? wakiwakamata stow away wanawashughulikia?
 
Naunga mkono hoja mkuu. Watu wanaongea utafikiri mapenzi yanafanywa usiku tuu. Kwamba kwa sababu nesi yupo night shift basi analiwa, ila mwalimu sababu unalala nae usiku basi haliwi. Kwani kuwepo vitanda wodini ndo Nini??..vitanda huwa vipo wodini tu??..
Labda mtu anishawishi kwamba masomo ya nursing yanawataka manesi kuwa Malaya automatically, la sivyo hoja yenu dhaifu Sana. Kifupi ofisi karibu zote watu wanakuwa na mahusiano, iwe ni mke wa mtu au mme wa mtu haijalishi, chunguza utaona.
Kifupi ukiamua kuoa jiandae kwa lolote; awe mama wa nyumbani au mfanyakazi Kama ana tabia hiyo umeumia. Wauza mikaa, ma houseboy, wauza genge n.k wanakula Sana mama wa nyumbani so Omba tu Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
AHSANTE KWA KULIONA HILO MKUU,,,nadhani watu hapa WANAJIFARIJI KWA KUWATUPIA LAWAMA MANURSE,,,wamesahau KWAMBA WANAWAKE WOTE WANA TABIA ZAINAZOFANANA....pia Nina mfano HAI,,,nimekuwa NIKIWAGEGEDA WAKE ZA WATU,,tena ni WAFANYAKAZI huko MJINI,,,na MARA KIBAO WAUME ZAO WANAMPIGIA SIMU,,,MKEWE YUPO KWANGU TENA KALIKALIA DUSHE ,,anamjibu MUMEWE YUPO KWA BOSS,,,atamcheki BAADAE...MWANAMKE AKITAKA LAKE HASHINDWI...akitoka hapo ANARUDI OFISINI,,AU HOME...KISHALIWA.,TENA NAGEGEDA HASWA,,SINA MASIHARA KWENYE SEKTA YA KUGEGEDA, ..MSIWAONEE NURSE BURE.....ukweli MCHUNGU....

Sikatai hoja yako mkuu, lakini namashaka na hiyo ofisi. Muda wa kazi we unamgegeda, basi ofisi nyingine nzuri sana. Ziko loose mno, mtu anatoka at any time

Hivi MKUU MFANYAKAZI HAUMWI?MFANYAKAZI HANA EMERGENCY? hivi kama MKEO KAZINI HAJAFIKA WEWE utahakikisha vipi kama KAFIKA AU HAJAFIKA KAZINI ?AU ANA EMERGENCY?NI WANAWAKE WANGAPI WANATOKA KAZINI wanakuwa kwenye MAREJESHO YA VIKUNDI?HUO MUDA UNATOKA WAPI?MKUU Mimi nishakuwa nao,,,WAALIMU NA HATA HAO WAAOFISINI...kuna JAMAA ALIKUWA ANAMSHUSHA MKEWE SHULE NA GARI..jioni ANAMPITIA KURUDI NYUMBANI..basi AKIMSHUSHA MWALIMU ataingia SHULE,,ana sign BAADAE ANAKUJA KWANGU,,, SAA kumi ANAKUWA maeneo ya shule ,,MUMEWE SAA kumi na moja ANAMPITIA kurudi HOME,,,jamaa hajashtuka hata Mara moja.....NIMEGEGEDA MWAKA MZIMA,,YUPO MWANAMKE mwingine ANAKAA NYUMBA JIRANI,NILIKUWA NAMGEGEDA,,,,SAA KUMI NA MOJA anatoka ANAINGIA KWANGU..jioni SAA MOJA anachomoka KURUDI KWAKE,, KUMBE KAZINI ANA OFF MUMUWE HAJUWI..mkuu WANAWAKE WANA MBINU BALAA....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MCHEZA KAMARI Pole sana inaonekana ulikuwa una mpenda sana. Ila msamehe give her second chance atabadilika huwezi jua...
 
Back
Top Bottom