Watu wanapenda short cut sanaNaam kwa mawazo haya ndio maana vifo vya kuuana vimezidi ni mwendo wa mashindano na watu kutokuridhika Anything goes until the end is met...
Yaani ni heri punda afe ili mzigo ufike.... Tatizo kubwa la hili ni watu kuzidi kupata msongo wa mawazo; The Future is Scary...
Na kwa maisha ya Facebook na instragram (kuangalia status na watu wamepost nini) au kuangalia jirani au fulani kafanya nini ni mawili tu either kufanya liwalo na liwe au kupata msongo wa mawazo.watu wanapenda short cut sana
hiyo ndiyo point makazi ni basic need haijalishi ipoje ni vzr ukiwa na kwako kwa kupumzikaNa kwa maisha ya Facebook na instragram (kuangalia status na watu wamepost nini) au kuangalia jirani au fulani kafanya nini ni mawili tu either kufanya liwalo na liwe au kupata msongo wa mawazo....
Na hili kwa kizazi hiki na kizazi kijacho litawatafuna sana.....
Maisha ni kuishi kile kitu roho inapenda kama unapenda upate kitu fulani pambana ukipate (ila hakikisha target yako ni within your means), ila aghlabu usilazimishe sababu Jamii inayokuzunguka inataka ufanye nini au ufikie kiwango gani (yatakuwa maisha ya kufurahisha watu na sio kujifurahisha)
Ila Makazi ni Basic Human need ya kila mmoja nadhani huko tunakoelekea utaanza mfumo wa mortgage na affordable housing.... (mhhh Thinking again tulikuwa nao na ndio huo National Housing tuliyogeuza imekuwa beyond affordability)
Naam kila mtu anastahili kuwa na sehemu ya kujihifadhi..., zamani nyumba ilikuwa asset ukimaliza, unasahau sasa hivi nyumba inaweza ikawa inakufilisi (maintanance n.k.) na kama sio mzee haujastaafu kuna tozo za kodi na sasa hivi mijini itafika wakati bila kuanzia ghorofa au aina fulani ya nyumba hupewi permit ya kujenga kwahio unaenda kujenga hukoooo in the middle of nowhere...hiyo ndiyo point makazi ni basic need haijalishi ipoje ni vzr ukiwa na kwako kwa kupumzika
๐๐๐ก๐ข๐ฅ๐ข๐ ๐ฆ๐๐๐ฅ๐ข ๐ก๐๐ค๐จ ๐ค๐๐๐ฃ๐ข๐ซ๐ ๐ค๐๐ค๐จ ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ข๐ง๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ณ๐๐ณ๐ข,Mwanaume akifikisha miaka 45 hadi 50 hapo kibongo bongo walio wengi ndo angalau huwa yuko vizur kimaisha na hii ni kutokana na changamoto za maisha tunazokutana nazo kwenye maisha katika kujipanga na kujiweka sawa kimaisha...
Ila kama hauna hata haka na uko na miaka 45 hadi 50 hapo inabidi kujitafakari upyaa ni wakati wa kuamka toka usingizini.....
Asikuambie mtu kuwa mwanaume sio jambo dogo na jepesi hata kidogo[emoji848][emoji848]
View attachment 2078457View attachment 2078458View attachment 2078459View attachment 2078455
[emoji848][emoji848]hatari sanaNaam kila mtu anastahili kuwa na sehemu ya kujihifadhi..., zamani nyumba ilikuwa asset ukimaliza, unasahau sasa hivi nyumba inaweza ikawa inakufilisi (maintanance n.k.) na kama sio mzee haujastaafu kuna tozo za kodi na sasa hivi mijini itafika wakati bila kuanzia ghorofa au aina fulani ya nyumba hupewi permit ya kujenga kwahio unaenda kujenga hukoooo in the middle of nowhere...
In short mfumo ninaouna unakuja ni mfumo wa mortgage (developers wanajenga nyumba za viwango sehemu nyingine hata ghorofa alafu watu mnapewa mortgage ya kununua hizo nyumba..., siku mkizeeka au vipi mnaziuza sababu hata kumuachia ndugu yako itabidi alipie inheritance tax na kama hajastaafu inabidi alipia kodi ya jengo (hapo kama hapangishi unakuwa haujamiachia asset bali liability)
In short mambo yanakwenda kwa kasi sana....
kwako ni kwako tuSio swala hata nikimaliza mwendo na hii sote tutakufa tu anyways sote ni wasafiri[emoji28]
View attachment 2078521