lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,643
- 5,335
- Thread starter
- #141
lakini point Iko pale pale nyumba anayo akitaka siku yoyote ile anawatimua anakaaHuko walikoyajenga si wameyapangisha? Which means hawakujenga kwa ajili ya kuishi kama tufanyavyo wafanyakazi wengi, wamejenga kwa ajli ya ku generate pesa through hayo majengo