Huko walikoyajenga si wameyapangisha? Which means hawakujenga kwa ajili ya kuishi kama tufanyavyo wafanyakazi wengi, wamejenga kwa ajli ya ku generate pesa through hayo majengo
Mkuu hapa tunawazungumzia WAFANYABIASHARA wakubwa, sio sisi wa hapa na pale, yaani middle class na lower class. MATAJIRI hawajengi kaka, tunao jenga ni sisi wafanyakazi na wafanyabiashara wa kawaida.
Hizi ni story tu. Mo anakaa nyumba ya kupanga? Tamil(rip) alikuwa anakaa nyumba ya kupanga? Mengi(rip) hakuwa na nyumba? SSB na watoto wake wana majumba ya kuishi Masaki,obay,mikocheni. Matajiri gani wakubwa hawana nyumba?