pmwasyoke JF-Expert Member Joined May 27, 2010 Posts 4,760 Reaction score 3,324 Aug 28, 2021 #21 Hivi mkuu watu si huishi hadi zaidi ya miaka 90? Kuna ubaya gani mtu wa 67 kupanga ya ya mbele? Jee hao walio vijana wana garantii ya kuishi miaka 20 mbele?
Hivi mkuu watu si huishi hadi zaidi ya miaka 90? Kuna ubaya gani mtu wa 67 kupanga ya ya mbele? Jee hao walio vijana wana garantii ya kuishi miaka 20 mbele?