Ukiwa na miaka 60 - 67 unaweza kuwa na ndoto za miaka 20 mbele?

Hivi mkuu watu si huishi hadi zaidi ya miaka 90? Kuna ubaya gani mtu wa 67 kupanga ya ya mbele?

Jee hao walio vijana wana garantii ya kuishi miaka 20 mbele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…