Ukiwa na mwanamke Tanzania, gharama utakazoingia kwa mwezi mmoja tu ni bodaboda mbili

Mwanawane anakupaje mara tatu kwa mwezi bwana inabidi kidume uwe unapata mara tatu kwa wiki ujue.

Mie huyu sijui nimfanyeje maana kila nikiangalia muamala wa tigopesa ni jina lake tuu linaonekana.
Ukiangalia ulipotoka mbali na ukisema usitishe huduma ya tigopesa kuila hiyo mbususu ndo usahau kabisa inakuwa hasara. Kila unapotuma muhamala mkumbushie na mbususu
 
Nachangia kama kaka yenu na mnisikilize kwa makini wadogo zangu.Kuhonga,kutoa hela,kuhudumia ni kawaida kwa mwanaume,ila inategemea unamuhonga au unamuhudumia,au unatoa hela kwa nani maana kuna wanawake na wanauke.Tumieni bongo zenu vizuri
 
Nikiombwa ela namuambia njoo uichukue au kesho nitakupa

Sasa hii kesho nitakupa ndio natuma nauli kabisa aje kuvua kyupi
 
picha linaanza mademu wankujaga tuu hayo ya kutoa pesa sijui mnawatoaga wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…