Ukiwa na mwanamke Tanzania, gharama utakazoingia kwa mwezi mmoja tu ni bodaboda mbili

Mambo vipi.. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada

Katika pita pita zako unakutana na dem mkali tu kakuvutia. Unaanza kumtongoza ukiwa legend sana na kwa dem m ameshakubali. Haya Wiki nzima mnachat pamoja na kuwasiliana, Mnajuliana hali wiki nzima. Kwa siku mnaweza tumia sio chini ya masaa matano kuwasilliana na mtu mmoja (kwa kuchati au kupigiana simu). Kumbuka hapo ni unaimbisha tu.

Kwenye kuimbisha huimbishi hivi hivi, ohoo utakalishwa mwaka mzima. Labda uwe na swaga za aje sijui, madem wa sasa hv wanataka kilainishi. Maneno mengi waachie ma'MC

Huku na huku mchumba kakubali, linakuja suala lengine la kubebishana. Mara paap " baby nitumie vocha ya 1500" "mara baby gesi imeisha kujaza ni 23,000" . Mwamba huna hiana unatoa. Dem kapita sokoni kaupenda mkoba, kesho yake saloon inamuita. Mara rafiki yake sijui anaolewa bro ununue sare, shoga yake kapewa mimba na mtu mwengine kajifungua unaambiwa wewe ununue zawadi. Jumla kuu sio chini ya elfu 60.

Penzi lina wiki moja hapo.

Wiki ya pili mwanangu unaona aah sio kweli na wewe unataka vyako (utelezi) maana utamu unao mwenyewe, unamuomba mchumba kachomoa, eti "bado mapema[emoji30][emoji30]" pesa zako alipoomba huo umapema hakuuona. Huku na huku umeforce dem kakubali, kasema mkutane jumapili yaani siku ya kuabudu. Wewe tena na pepo la ngono limekujaa kwani unajali?

HATA HUJALI

Alhamisi ikapitan, ijumaa hio hapo kufika jumamosi anakwambia anaumwa tumbo, "shida nini mama?" "Ooh sijui limenianza tu ghafla" "basi sawa, sikilizia ukiona vipi nenda hospitali". Jioni asikushangaze nini... "Baby nimeingia period" [emoji24][emoji24]. Mizagamuo tena hapo hakuna maana yake.

Wiki ya pili imekata hapo hakuna cha maana. Simba wanacheza GGMU. Kama ilivyowazi wakiwaga hivyo wanataka "attention" eti madai yao uwajali. Hapo simu zisizo za maana upige kila muda, zawadi zisikauke mara hiki mara kile. Na ndo hio wiki kodi inaisha. Dem anakaa chumba na sebule kwa mwezi 150,000. "Baby nichangie hata miezi miwili mpenzi wangu"

Umepigwa busu, umeshikishwa victoria "laki tatu hio mama lipa kodi usije kufukuzwa". Jumla kuu shingapi? Utajua mwenyewe kuanzia huko juu siku ya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]

Siku zake zimeisha mwamba gundi limekujaa, unakumbushia. Mtoto nae kaona acha akutunuku. Mnapanga siku, kwa kusua sua lakini nayo siku ikafika. Kajiandaa kakupigia simu nipo tayari kuja tuma nauli.

Hapandi daladala ujue.. mtoto anataka bolt 8,000 mpaka kwako. Kama huna kwako muende lodge 20,000 kuanzia (haingii gesti kasema). Mchumba akija siku ya kwanza ujue hapiki. Ununue chakula (wewe + yeye kwa siku moja nzima sio chini ya 20,000) najua huwezi nunua ugali, ni kiepe yai kyuku huku nyama huku choda.

Mtoto kakupa show nzito kweli kweli na vizinga juu. "Unga kwangu umeisha, VICOBA nadaiwa (anacheza majina mawili), nywele zimefumuka. Unabisha nini si alisuka wiki iliyopita nywele za 40,000 zishafumuka sasa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nachotaka kukwambia ni kwamba ukiwa na dem hapa Tanzania ni afadhali kuwa na familia yenye watoto watano Ulaya. Hizo gaharama utazoingia kwa mwezi mmoja tu NI BODABODA MBILI (TVS na Boxer moja).

Sikwambii ununue Malaya lakini hata wewe fikiria tu. Malaya wa elfu 30 ni pisi kali, [emoji74]safi, unakutana nae siku hio hio unapiga anapita hivi. Hakuombi kodi, haishiwi unga masikini dada wawatu, hachezi VICOBA na kama anacheza atajua mwenyewe, kwa hio 30 unamkuta kasuka, kavaa kapendeza na vocha anayo.

Huwezi kununua malaya ni dhambi basi OA. usisema malaya wana maradhi, hakuna madem wana play safe kama hao, wapo makini vibaya mno. Ni kama wanajeshi hawaingii vitani kizembe, Labda kama ni mateka.

Narudia, usiwe na dem kijana. Aidha UOE au UPIGE NYETO[emoji23][emoji23][emoji23]. Madem msipojirekebisha mtatupata kwa waganga
Hivi Bro hayo unayoyasema hapo yote yanafanywa na sisi wanaume wa Dar?Hapana Chief..Dar ni mji ambao mademu wamekuwa kwenye competition sana ...Demu huwezi kumtongoza leo eti ipite wiki hujala utamu na bado ugharamie nywele,gesi,Vipodozi..Ngumu sana. Chief...utapigwa mzinga mmoja tu ikutoke 30,mzinga wa pili ni lazima uwe umekula utetezi.jinsi atakavyokuwa na njaa na ndio jinsi ataliwa mapema...akileta pozi ni kubwaga unachukua pisi nyingine..
 
Unatoa pesa kwa ajili ya haya matundu ya mkojo machafu labda niwe nimechanganikiwa

Mimi siwezi mpa pesa Mwanamke hata awe Mama Mzazi haijalishi ni Malaya au demu au shangazi
 
Simba na GGMU wapi na wapi?..

GGMU ni kwa Manchester United tu..learn that please
 
Babu.. nilimaanisha jezi. Simba wanajezi ya red pia Man U wanajezi ya red. Ukisikia Simba wanacheza meaning that dem kaingia period the same applies tu ukisikia Man U wanacheza.

Learn that
 
Unasoteshwa na hivyo vibom huku mtaani analiwa bure kmmk[emoji1] yaani manzi akikuletea hizo pigo piga chini amna mtu humo
 
utelezi usio na gharama hata hauna maana sisi tuliosoma quba ,tunajua demu akikubali haraka huyo Hana maana . Vizinga vina vibe yake mazeee
 
Mwanaume kama unayo pesa mwanamke akikuomba mpe usiangalie mbususu.
Wanawake wanapitia kipindi kigumu Sana.
1.Wazazi wao hawana kipato
2.Wamemaliza chuo ajira hakuna
3.Wahongaji hakuna sababu hawana hela.
Hawana mtu wa kuwashika mkono.
Mimi huwa nawapa tu hela sihitaji wanilipe
 
Mambo vipi.. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada

Katika pita pita zako unakutana na dem mkali tu kakuvutia. Unaanza kumtongoza ukiwa legend sana na kwa dem m ameshakubali. Haya Wiki nzima mnachat pamoja na kuwasiliana, Mnajuliana hali wiki nzima. Kwa siku mnaweza tumia sio chini ya masaa matano kuwasilliana na mtu mmoja (kwa kuchati au kupigiana simu). Kumbuka hapo ni unaimbisha tu.

Kwenye kuimbisha huimbishi hivi hivi, ohoo utakalishwa mwaka mzima. Labda uwe na swaga za aje sijui, madem wa sasa hv wanataka kilainishi. Maneno mengi waachie ma'MC

Huku na huku mchumba kakubali, linakuja suala lengine la kubebishana. Mara paap " baby nitumie vocha ya 1500" "mara baby gesi imeisha kujaza ni 23,000" . Mwamba huna hiana unatoa. Dem kapita sokoni kaupenda mkoba, kesho yake saloon inamuita. Mara rafiki yake sijui anaolewa bro ununue sare, shoga yake kapewa mimba na mtu mwengine kajifungua unaambiwa wewe ununue zawadi. Jumla kuu sio chini ya elfu 60.

Penzi lina wiki moja hapo.

Wiki ya pili mwanangu unaona aah sio kweli na wewe unataka vyako (utelezi) maana utamu unao mwenyewe, unamuomba mchumba kachomoa, eti "bado mapema[emoji30][emoji30]" pesa zako alipoomba huo umapema hakuuona. Huku na huku umeforce dem kakubali, kasema mkutane jumapili yaani siku ya kuabudu. Wewe tena na pepo la ngono limekujaa kwani unajali?

HATA HUJALI

Alhamisi ikapitan, ijumaa hio hapo kufika jumamosi anakwambia anaumwa tumbo, "shida nini mama?" "Ooh sijui limenianza tu ghafla" "basi sawa, sikilizia ukiona vipi nenda hospitali". Jioni asikushangaze nini... "Baby nimeingia period" [emoji24][emoji24]. Mizagamuo tena hapo hakuna maana yake.

Wiki ya pili imekata hapo hakuna cha maana. Simba wanacheza GGMU. Kama ilivyowazi wakiwaga hivyo wanataka "attention" eti madai yao uwajali. Hapo simu zisizo za maana upige kila muda, zawadi zisikauke mara hiki mara kile. Na ndo hio wiki kodi inaisha. Dem anakaa chumba na sebule kwa mwezi 150,000. "Baby nichangie hata miezi miwili mpenzi wangu"

Umepigwa busu, umeshikishwa victoria "laki tatu hio mama lipa kodi usije kufukuzwa". Jumla kuu shingapi? Utajua mwenyewe kuanzia huko juu siku ya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]

Siku zake zimeisha mwamba gundi limekujaa, unakumbushia. Mtoto nae kaona acha akutunuku. Mnapanga siku, kwa kusua sua lakini nayo siku ikafika. Kajiandaa kakupigia simu nipo tayari kuja tuma nauli.

Hapandi daladala ujue.. mtoto anataka bolt 8,000 mpaka kwako. Kama huna kwako muende lodge 20,000 kuanzia (haingii gesti kasema). Mchumba akija siku ya kwanza ujue hapiki. Ununue chakula (wewe + yeye kwa siku moja nzima sio chini ya 20,000) najua huwezi nunua ugali, ni kiepe yai kyuku huku nyama huku choda.

Mtoto kakupa show nzito kweli kweli na vizinga juu. "Unga kwangu umeisha, VICOBA nadaiwa (anacheza majina mawili), nywele zimefumuka. Unabisha nini si alisuka wiki iliyopita nywele za 40,000 zishafumuka sasa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nachotaka kukwambia ni kwamba ukiwa na dem hapa Tanzania ni afadhali kuwa na familia yenye watoto watano Ulaya. Hizo gaharama utazoingia kwa mwezi mmoja tu NI BODABODA MBILI (TVS na Boxer moja).

Sikwambii ununue Malaya lakini hata wewe fikiria tu. Malaya wa elfu 30 ni pisi kali, [emoji74]safi, unakutana nae siku hio hio unapiga anapita hivi. Hakuombi kodi, haishiwi unga masikini dada wawatu, hachezi VICOBA na kama anacheza atajua mwenyewe, kwa hio 30 unamkuta kasuka, kavaa kapendeza na vocha anayo.

Huwezi kununua malaya ni dhambi basi OA. usisema malaya wana maradhi, hakuna madem wana play safe kama hao, wapo makini vibaya mno. Ni kama wanajeshi hawaingii vitani kizembe, Labda kama ni mateka.

Narudia, usiwe na dem kijana. Aidha UOE au UPIGE NYETO[emoji23][emoji23][emoji23]. Madem msipojirekebisha mtatupata kwa waganga
Nimeondoka na ujumbe mmoja mzuri toka kwako " OA".... Inshallah nitaufanyia kazi....[emoji1666]
 
Asipokuwa na maradhi ya kimwili anakuwa na maradhi ya kiroho. Kifua cha kahaba ni SAwa na dustin la kubeba KILA aina ya uchafu,kifua cha kahaba kimebeba laana na mikosi mbalimbali, unaingia msafi unabeba mikosi.
Punyeto ni hatari zaidi ya kahaba.
Ngono uleta umasikini.
 
Wewe wape pesa alafu watembezee fimbo tu alafu unakimbia kwa spidi nyingi sana hakuna kuwaoa, acha kuumiza kichwa na mambo madogo madogo. Duniani hapa ukiwa na roho nzuri iliyo pitiliza utaumia mbaya zaidi hakuna wa kukutetea.
 
Mambo vipi.. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada

Katika pita pita zako unakutana na dem mkali tu kakuvutia. Unaanza kumtongoza ukiwa legend sana na kwa dem m ameshakubali. Haya Wiki nzima mnachat pamoja na kuwasiliana, Mnajuliana hali wiki nzima. Kwa siku mnaweza tumia sio chini ya masaa matano kuwasilliana na mtu mmoja (kwa kuchati au kupigiana simu). Kumbuka hapo ni unaimbisha tu.

Kwenye kuimbisha huimbishi hivi hivi, ohoo utakalishwa mwaka mzima. Labda uwe na swaga za aje sijui, madem wa sasa hv wanataka kilainishi. Maneno mengi waachie ma'MC

Huku na huku mchumba kakubali, linakuja suala lengine la kubebishana. Mara paap " baby nitumie vocha ya 1500" "mara baby gesi imeisha kujaza ni 23,000" . Mwamba huna hiana unatoa. Dem kapita sokoni kaupenda mkoba, kesho yake saloon inamuita. Mara rafiki yake sijui anaolewa bro ununue sare, shoga yake kapewa mimba na mtu mwengine kajifungua unaambiwa wewe ununue zawadi. Jumla kuu sio chini ya elfu 60.

Penzi lina wiki moja hapo.

Wiki ya pili mwanangu unaona aah sio kweli na wewe unataka vyako (utelezi) maana utamu unao mwenyewe, unamuomba mchumba kachomoa, eti "bado mapema[emoji30][emoji30]" pesa zako alipoomba huo umapema hakuuona. Huku na huku umeforce dem kakubali, kasema mkutane jumapili yaani siku ya kuabudu. Wewe tena na pepo la ngono limekujaa kwani unajali?

HATA HUJALI

Alhamisi ikapitan, ijumaa hio hapo kufika jumamosi anakwambia anaumwa tumbo, "shida nini mama?" "Ooh sijui limenianza tu ghafla" "basi sawa, sikilizia ukiona vipi nenda hospitali". Jioni asikushangaze nini... "Baby nimeingia period" [emoji24][emoji24]. Mizagamuo tena hapo hakuna maana yake.

Wiki ya pili imekata hapo hakuna cha maana. Simba wanacheza GGMU. Kama ilivyowazi wakiwaga hivyo wanataka "attention" eti madai yao uwajali. Hapo simu zisizo za maana upige kila muda, zawadi zisikauke mara hiki mara kile. Na ndo hio wiki kodi inaisha. Dem anakaa chumba na sebule kwa mwezi 150,000. "Baby nichangie hata miezi miwili mpenzi wangu"

Umepigwa busu, umeshikishwa victoria "laki tatu hio mama lipa kodi usije kufukuzwa". Jumla kuu shingapi? Utajua mwenyewe kuanzia huko juu siku ya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]

Siku zake zimeisha mwamba gundi limekujaa, unakumbushia. Mtoto nae kaona acha akutunuku. Mnapanga siku, kwa kusua sua lakini nayo siku ikafika. Kajiandaa kakupigia simu nipo tayari kuja tuma nauli.

Hapandi daladala ujue.. mtoto anataka bolt 8,000 mpaka kwako. Kama huna kwako muende lodge 20,000 kuanzia (haingii gesti kasema). Mchumba akija siku ya kwanza ujue hapiki. Ununue chakula (wewe + yeye kwa siku moja nzima sio chini ya 20,000) najua huwezi nunua ugali, ni kiepe yai kyuku huku nyama huku choda.

Mtoto kakupa show nzito kweli kweli na vizinga juu. "Unga kwangu umeisha, VICOBA nadaiwa (anacheza majina mawili), nywele zimefumuka. Unabisha nini si alisuka wiki iliyopita nywele za 40,000 zishafumuka sasa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nachotaka kukwambia ni kwamba ukiwa na dem hapa Tanzania ni afadhali kuwa na familia yenye watoto watano Ulaya. Hizo gaharama utazoingia kwa mwezi mmoja tu NI BODABODA MBILI (TVS na Boxer moja).

Sikwambii ununue Malaya lakini hata wewe fikiria tu. Malaya wa elfu 30 ni pisi kali, [emoji74]safi, unakutana nae siku hio hio unapiga anapita hivi. Hakuombi kodi, haishiwi unga masikini dada wawatu, hachezi VICOBA na kama anacheza atajua mwenyewe, kwa hio 30 unamkuta kasuka, kavaa kapendeza na vocha anayo.

Huwezi kununua malaya ni dhambi basi OA. usisema malaya wana maradhi, hakuna madem wana play safe kama hao, wapo makini vibaya mno. Ni kama wanajeshi hawaingii vitani kizembe, Labda kama ni mateka.

Narudia, usiwe na dem kijana. Aidha UOE au UPIGE NYETO[emoji23][emoji23][emoji23]. Madem msipojirekebisha mtatupata kwa waganga
Fungueni hizo wallet mwageni pesa sifa ya mwanamke kuhongwa.
 
Mwanaume kama unayo pesa mwanamke akikuomba mpe usiangalie mbususu.
Wanawake wanapitia kipindi kigumu Sana.
1.Wazazi wao hawana kipato
2.Wamemaliza chuo ajira hakuna
3.Wahongaji hakuna sababu hawana hela.
Hawana mtu wa kuwashika mkono.
Mimi huwa nawapa tu hela sihitaji wanilipe
Kati ya hao wanawake walio kwenye kipindi kigumu, utampenda mmoja, ukimpenda utamsaidia kipesa, ila wengi wao ukiwabadilisha maisha yao kiuchumi, kitu ambacho watakuja kukulipa, Mungu mwenyewe anajua, yani wanalipa ubaya kwa wema uliowafanyia Showmax
 
Back
Top Bottom