Ukiwa na mwanamke Tanzania, gharama utakazoingia kwa mwezi mmoja tu ni bodaboda mbili

Hivi Bro hayo unayoyasema hapo yote yanafanywa na sisi wanaume wa Dar?Hapana Chief..Dar ni mji ambao mademu wamekuwa kwenye competition sana ...Demu huwezi kumtongoza leo eti ipite wiki hujala utamu na bado ugharamie nywele,gesi,Vipodozi..Ngumu sana. Chief...utapigwa mzinga mmoja tu ikutoke 30,mzinga wa pili ni lazima uwe umekula utetezi.jinsi atakavyokuwa na njaa na ndio jinsi ataliwa mapema...akileta pozi ni kubwaga unachukua pisi nyingine..
 
Unatoa pesa kwa ajili ya haya matundu ya mkojo machafu labda niwe nimechanganikiwa

Mimi siwezi mpa pesa Mwanamke hata awe Mama Mzazi haijalishi ni Malaya au demu au shangazi
 
Simba na GGMU wapi na wapi?..

GGMU ni kwa Manchester United tu..learn that please
 
Simba na GGMU wapi na wapi?..

GGMU ni kwa Manchester United tu..learn that please
Babu.. nilimaanisha jezi. Simba wanajezi ya red pia Man U wanajezi ya red. Ukisikia Simba wanacheza meaning that dem kaingia period the same applies tu ukisikia Man U wanacheza.

Learn that
 
Unasoteshwa na hivyo vibom huku mtaani analiwa bure kmmk[emoji1] yaani manzi akikuletea hizo pigo piga chini amna mtu humo
 
utelezi usio na gharama hata hauna maana sisi tuliosoma quba ,tunajua demu akikubali haraka huyo Hana maana . Vizinga vina vibe yake mazeee
 
Mwanaume kama unayo pesa mwanamke akikuomba mpe usiangalie mbususu.
Wanawake wanapitia kipindi kigumu Sana.
1.Wazazi wao hawana kipato
2.Wamemaliza chuo ajira hakuna
3.Wahongaji hakuna sababu hawana hela.
Hawana mtu wa kuwashika mkono.
Mimi huwa nawapa tu hela sihitaji wanilipe
 
Nimeondoka na ujumbe mmoja mzuri toka kwako " OA".... Inshallah nitaufanyia kazi....[emoji1666]
 
Asipokuwa na maradhi ya kimwili anakuwa na maradhi ya kiroho. Kifua cha kahaba ni SAwa na dustin la kubeba KILA aina ya uchafu,kifua cha kahaba kimebeba laana na mikosi mbalimbali, unaingia msafi unabeba mikosi.
Punyeto ni hatari zaidi ya kahaba.
Ngono uleta umasikini.
 
Wewe wape pesa alafu watembezee fimbo tu alafu unakimbia kwa spidi nyingi sana hakuna kuwaoa, acha kuumiza kichwa na mambo madogo madogo. Duniani hapa ukiwa na roho nzuri iliyo pitiliza utaumia mbaya zaidi hakuna wa kukutetea.
 
Fungueni hizo wallet mwageni pesa sifa ya mwanamke kuhongwa.
 
Kati ya hao wanawake walio kwenye kipindi kigumu, utampenda mmoja, ukimpenda utamsaidia kipesa, ila wengi wao ukiwabadilisha maisha yao kiuchumi, kitu ambacho watakuja kukulipa, Mungu mwenyewe anajua, yani wanalipa ubaya kwa wema uliowafanyia Showmax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…