Ukiona ulipewa 5000 ndio thamani yako hiyo.
Kuna watu wanapewa hata 300,000 matumizi.
Jiangalie Sana. Jiongeze thamani. Na wanawake wengi hudhani thamani yake ni Uzuri na tako Tu. Thamani ni zaidi ya hivyo vitu viwili. Nakupa KAZI ukafanyie KAZI!
Kingine usijione mjanja mwanaume uliekuwa nae mkaachana halafu anaomba akurudie tena kuwa ni Boya. Kuna wanaume huwa hawapendi kuachwa inaweza ikawa ni nafasi ya kuja kukupiga Spana akuche na maumivu na wewe! Usimuone mzembe kama unavyomchukulia.
Sent from my SM-A032F using
JamiiForums mobile app