Esthergroly
Senior Member
- Jan 4, 2023
- 104
- 117
Nisingekaa nae miaka 2 kama sikumpenda iyo 5000 ilijumuisha na mengine yooote aliyokua anajiongelesha na utekelezaji zero nilichoka na nikahisi asije kua ni aina ya wanaume wakioa wanategemea mama ndo audumie familia, hicho ndo nilihofia. Sijui kitega uchumi changu ndo sababu akaona labda nashika visent ko sijitaji kutoka kwake.Wewe hukumpenda yaani unasusa kisa umepewa elfu tano[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Afu ukiomba sio lazima upewe madam,,,,,,au nyie mnadhani ni lazima mpewe???
Labda na yeye alikua anakupima ndio maana miaka yote hiyo hakutaka kuwekeza kwako kwa kuhofia hasara....Unajua sisi wanaume mpaka kuwekeza kwa mwanamke kihisia inaweza chukua miaka kumi....Afu jinsi tulivyo waga tunahonga sana makahaba kuliko wapenzi wetu wa ndani....Sijui tumelogwa na nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 But ungemvumilia ru na mapungufu yake au mngekaa chini mzungumzeNisingekaa nae miaka 2 kama sikumpenda iyo 5000 ilijumuisha na mengine yooote aliyokua anajiongelesha na utekelezaji zero nilichoka na nikahisi asije kua ni aina ya wanaume wakioa wanategemea mama ndo audumie familia, hicho ndo nilihofia. Sijui kitega uchumi changu ndo sababu akaona labda nashika visent ko sijitaji kutoka kwake.
Tatizo lenu wadada hamuwezi kuvumilia waga mnachoka haraka...Sio kwamba waga tunajiongelesha vitu,,,ila waga tunabadili mawazo kichwani kutokana na muenendo wa mahusiano ndio maana mnaona vitendo zero....Sababu wanaume waga tunajiuliza hivi wanawake wanatuoffer nini kwenye mahusiano zaidi ya ngono na watoto?????? So mwanamke asipokua anaoffer zaidi ya ngono na watoto,,mahusiano au ndoa waga zinachosha..Maana ngono inazoeleka na familia inazoeleka pia hakuna jipyaNisingekaa nae miaka 2 kama sikumpenda iyo 5000 ilijumuisha na mengine yooote aliyokua anajiongelesha na utekelezaji zero nilichoka na nikahisi asije kua ni aina ya wanaume wakioa wanategemea mama ndo audumie familia, hicho ndo nilihofia. Sijui kitega uchumi changu ndo sababu akaona labda nashika visent ko sijitaji kutoka kwake.
Wee unafaa kuwa mwalimu wangu wa mahusianoKabisaaa tukipenda hatuombi pesa hasa pesa ndogondogo hatutaki kuonekana wapenda pesa. Kumbe tunapenda.
We unataka upewe nn tofauti na Ngono na watoto?...kama ni vtu vdogo basi muwe mnazaa wenyewe...au nunueni midoli si ipo inauzwa? Yaani nyi sex mnaonaga ni kakitu kadogo sana mnalinganisha nyuchi mnazonunua na za wake zenu.Tatizo lenu wadada hamuwezi kuvumilia waga mnachoka haraka...Sio kwamba waga tunajiongelesha vitu,,,ila waga tunabadili mawazo kichwani kutokana na muenendo wa mahusiano ndio maana mnaona vitendo zero....Sababu wanaume waga tunajiuliza hivi wanawake wanatuoffer nini kwenye mahusiano zaidi ya ngono na watoto?????? So mwanamke asipokua anaoffer zaidi ya ngono na watoto,,mahusiano au ndoa waga zinachosha..Maana ngono inazoeleka na familia inazoeleka pia hakuna jipya
Kumbeeee[emoji3][emoji3]haina shida nasisi tunatafuta pesa sasa afu tuone mwisho nnnLabda na yeye alikua anakupima ndio maana miaka yote hiyo hakutaka kuwekeza kwako kwa kuhofia hasara....Unajua sisi wanaume mpaka kuwekeza kwa mwanamke kihisia inaweza chukua miaka kumi....Afu jinsi tulivyo waga tunahonga sana makahaba kuliko wapenzi wetu wa ndani....Sijui tumelogwa na nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] But ungemvumilia ru na mapungufu yake au mngekaa chini mzungumze
Ukisaidia we saidiaKati ya hao wanawake walio kwenye kipindi kigumu, utampenda mmoja, ukimpenda utamsaidia kipesa, ila wengi wao ukiwabadilisha maisha yao kiuchumi, kitu ambacho watakuja kukulipa, Mungu mwenyewe anajua, yani wanalipa ubaya kwa wema uliowafanyia Showmax
Unajua wanaume waga hatujui tunatafutaga nini kwenye mahusiano na wanawake waga wanaendeshwa na hisia zao sio uasilia kwenye mahusianoKumbeeee[emoji3][emoji3]haina shida nasisi tunatafuta pesa sasa afu tuone mwisho nnn
Dada sisi wanaume tofauti na pesa nadhani tunawapa emotional security na ndio kitu muhimu kwenuWe unataka upewe nn tofauti na Ngono na watoto?...kama ni vtu vdogo basi muwe mnazaa wenyewe...au nunueni midoli si ipo inauzwa? Yaani nyi sex mnaonaga ni kakitu kadogo sana mnalinganisha nyuchi mnazonunua na za wake zenu.
Hizo pesa tunatafuta siku hizi nasisi. Tuwaulize sasa ukiacha pesa nnn wanaume mnaweza kutupa sisi???
Ukiona ulipewa 5000 ndio thamani yako hiyo.Nisingekaa nae miaka 2 kama sikumpenda iyo 5000 ilijumuisha na mengine yooote aliyokua anajiongelesha na utekelezaji zero nilichoka na nikahisi asije kua ni aina ya wanaume wakioa wanategemea mama ndo audumie familia, hicho ndo nilihofia. Sijui kitega uchumi changu ndo sababu akaona labda nashika visent ko sijitaji kutoka kwake.
Achana na huyo ana stress za kuachwa ni mwez Jana Tu katoka kuachwa Hana uwezo WA kuacha mwanaume...Unajua wanaume waga hatujui tunatafutaga nini kwenye mahusiano na wanawake waga wanaendeshwa na hisia zao sio uasilia kwenye mahusiano
Hiyo 5000 ni yeye tuu na alinishangaza sana..swala la kunipiga tukio kashafeli.Ukiona ulipewa 5000 ndio thamani yako hiyo.
Kuna watu wanapewa hata 300,000 matumizi.
Jiangalie Sana. Jiongeze thamani. Na wanawake wengi hudhani thamani yake ni Uzuri na tako Tu. Thamani ni zaidi ya hivyo vitu viwili. Nakupa KAZI ukafanyie KAZI!
Kingine usijione mjanja mwanaume uliekuwa nae mkaachana halafu anaomba akurudie tena kuwa ni Boya. Kuna wanaume huwa hawapendi kuachwa inaweza ikawa ni nafasi ya kuja kukupiga Spana akuche na maumivu na wewe! Usimuone mzembe kama unavyomchukulia.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Looh, pole sana.Dada sisi wanaume tofauti na pesa nadhani tunawapa emotional security na ndio kitu muhimu kwenu
Kweli kabisa, baada ya kujua hilo ni kutulia tuu.Unajua wanaume waga hatujui tunatafutaga nini kwenye mahusiano na wanawake waga wanaendeshwa na hisia zao sio uasilia kwenye mahusiano
Sikia hakuna mwanamke mzuri WA tabia na miendendo asiehudumiwa na mwanaume!Hiyo 5000 ni yeye tuu na alinishangaza sana..swala la kunipiga tukio kashafeli.
Iyo laki 3 ni ndogo nishapewa zaidi ya hiyo.
Thamani yangu haipo kwenye pesa unaweza nipa hata million bado ukanidharau. Nyi mnatumia sana pesa kununua wanawake!!
Umekarr kumbe, ok ndomana nkamuacha.Sikia hakuna mwanamke mzuri WA tabia na miendendo asiehudumiwa na mwanaume!
Jichunguze
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Uongo au??Looh, pole sana.
I hope na wewe umetuliaKweli kabisa, baada ya kujua hilo ni kutulia tuu.