Ukiwa na Nyundo Kila Tatizo Utaliona Kama ni Msumari

Sitakuumiza Kamwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2025
Posts
466
Reaction score
1,457
Ndivyo ulivyo utawala wa sasa. Kila mzalendo. Kila mtu asiye chawa wao. Kila mwenye fikra huru na mitazamo tofauti. Kila asiye mwanaCCM. Kila Mtanganyika. Kila mwenye uthubutu wa kuhoji....Kwao ni msumari tu; na anastahili nyundo kichwani.

Mpaka lini?

 


SERIKALI INAFANYA KAZI KWA WELEDI VERY PROFESSIONAL HAKIKISHA UNATII SHERIA NA KUWA MZALENDO
 
SERIKALI INAFANYA KAZI KWA WELEDI VERY PROFESSIONAL HAKIKISHA UNATII SHERIA NA KUWA MZALENDO
mzalendo wa nyoko. Samia amewalipa mhubiri aman mitandaon, kwasasa anajua fika watu hawamtak na hawamhtaji, hawana aman maana anatumia mamlaka kutawala, kwahyo mitandao yote ya kijamii kajaza watu kukanusha mabaya yake, ndo wale wale umo kwenye mfumo. Manyoko zako.
 


TANZANIA NI SALAMA SANA
 
Vivyo hivyo kwa haters wa Samia humu, ukitofautiana nao mawazo tu basi tutasikia, "unalipwa Huku 7 Lumumba". Safari ni ndefu sana..........unapigania usichoweza kukiishi.
 
Na vp wewe na haters wenzio mliojazana humu na kwingineko, mnalipwa na TEC na chadema kumshambulia?!!!
Watanzania gani hawamtaki, wale waliofanya fujo siku ile?!!!! Umewasikiliza mamilioni wengine waliotulia makwao na kufanya mambo yao bila kushinda humu mitandaoni kama nyie?!!!!
 
Huwa nafarijika sana nikiona comment yako iliyojaa hoja tu bila matusi. Ila kuna wakati sasa dah! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unasema sitokuumiza tena mbona unaniumiza sasa
 
Demokrasia bado ni dhana mpya kwa Waafrika maana ni dhana iliyopandikizwa tu. Ndicho kinachotusumbua.

Huku kwa wazungu demokrasia inaanzia kwenye familia, mashuleni, vyuoni, kazini na kwingineko. Sisi nyumbani baba/mama dikteta halafu.....
Kabisa mkuu, ni mpya na tumeivamia tu na kujifanya tunaijua.
 
SERIKALI INAFANYA KAZI KWA WELEDI VERY PROFESSIONAL HAKIKISHA UNATII SHERIA NA KUWA MZALENDO
Hata wewe hauko salama maana nawe ni msumari tu. Nyundo ipo pale pale inakusubiri hata utii sheria na kuwa mzalendo kivipi!
 
Huwa nafarijika sana nikiona comment yako iliyojaa hoja tu bila matusi. Ila kuna wakati sasa dah! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nabadilika mkuu, ile ni mihemko tu na Wala sio Haina yangu kabisa. Hivi hapa, ikiwa zimebaki siku chache tu niongeze mwaka mwingine, nataka kutupia thread kabisa ya kuwaomba radhi niliowatukana.......tuuanze mwaka mpya tukiwa na roho safi.
 
Utafanya jambo jema. Mungu Akubariki sana πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…