Ukiwa na pesa, gari au mtanashati wanawake hawakatai ukiwatongoza

Ukiwa na pesa, gari au mtanashati wanawake hawakatai ukiwatongoza

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Sijui Wana tamaa, ukipendeza wanajileta,
Sura mbaya imekomaa utawapata ukiwa na pesa.

Ukimfata na gari hata kama la kuazima, ujue amekwisha huyo. Akikupa namba we tuma salio, mwambie njoo gheto.

Mmekutana Leo. Unamuomba namba Leo na anakupa Leo!

Wale members wa kiume msiojua kutongoza, Mr Nay kawapa mbinu, hatutarajii mje muombe ushaur JF

GT wa kike Mr Nay kawasingizia au ndivyo mlivyo?

Naomba kuwasilisha.

1626854988975.png

 
Back
Top Bottom