mshale21 JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 2,126 Reaction score 5,068 Jul 20, 2021 #1 Sijui Wana tamaa, ukipendeza wanajileta, Sura mbaya imekomaa utawapata ukiwa na pesa. Ukimfata na gari hata kama la kuazima, ujue amekwisha huyo. Akikupa namba we tuma salio, mwambie njoo gheto. Mmekutana Leo. Unamuomba namba Leo na anakupa Leo! Wale members wa kiume msiojua kutongoza, Mr Nay kawapa mbinu, hatutarajii mje muombe ushaur JF GT wa kike Mr Nay kawasingizia au ndivyo mlivyo? Naomba kuwasilisha.
Sijui Wana tamaa, ukipendeza wanajileta, Sura mbaya imekomaa utawapata ukiwa na pesa. Ukimfata na gari hata kama la kuazima, ujue amekwisha huyo. Akikupa namba we tuma salio, mwambie njoo gheto. Mmekutana Leo. Unamuomba namba Leo na anakupa Leo! Wale members wa kiume msiojua kutongoza, Mr Nay kawapa mbinu, hatutarajii mje muombe ushaur JF GT wa kike Mr Nay kawasingizia au ndivyo mlivyo? Naomba kuwasilisha.
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,677 Reaction score 45,532 Jul 20, 2021 #2 Wengine wenye magari tunawaogopa,tushazoea tz 11 zetu...