hahahaaa! Unaambiwa mtu anataka pesa kibamia cha nn? Lol
Bila shaka wewe una hela sana..Bila hivyo usingempata passion lady
No......pesa za mwanaume ni zetu sote.........zangu ni zangu kwa sababu nina matumizi mengi.......kwa hiyo kama mtu hana pesa.......apite mbali.......
::
Msomi (at least Masters in progress)
::
Pesa (sio za mawazo)
::
Umri (at least 30+)
::
Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..Labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha !!
Niko tayari kukosolewa.
=
Shule:- kibongo bongo shule means kazi nzuri ie mshahara mzuri. Kwangu mimi shule means uelewa na exposure kubwa, so Yes l won't go for form llb leaver.
Age:- 30+ means a guy is now mature and he know what he wants to do with his life. I don't to be a mother of my husband🙂
Pesa:- hii kitu ni relative, na sio rahisi kusema kiasi gani ni enough. I am sorry to admit kuwa kila kitu kinathamanishwa na hili lijinamizi. So uwezo (pesa) wa kutunza familia ni muhimu na sio kwa mkaka tu hata wadada pia. Ndio maana hata wakaka wanatafuta mwenza ambaye anaweza changia pato la kaya.
So Tetra dear, ukiwa na sifa hizo plus zile zingine za kusustain mapenzi you will surely get a woman na sio JF tu bali popote.
Hivi wanawake unatujua au unatusikiaga tu......pesa inaliwa kibamia chako tupa kule ..........
No RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK, hii conclusion yako umeifikia kwa kuangalia vigezo gani??
nakupenda ulivyo
bby na wala si hela Zion Daughter
mimi kua na loya ni mpango wa mungu!
::
1.Tembelea Mf Love Connect utazame sifa zinazotajwa japo kwa mwezi mzima.
2.We mwenyewe Mrembo by Nature Kwa ukweli wa nafsi yako (IN IGNORANCE OF YOUR MARITAL STATUS) are willing to accept me,,a poor man,,form four leaver,,kula kwangu hadi muujiza utokee.
3.Nimefanya research isiyo rasmi (with enough sample) ,So I have a ground to stand for
=
Shule:- kibongo bongo shule means kazi nzuri ie mshahara mzuri. Kwangu mimi shule means uelewa na exposure kubwa, so Yes l won't go for form llb leaver.
Age:- 30+ means a guy is now mature and he know what he wants to do with his life. I don't to be a mother of my husband🙂
Pesa:- hii kitu ni relative, na sio rahisi kusema kiasi gani ni enough. I am sorry to admit kuwa kila kitu kinathamanishwa na hili lijinamizi. So uwezo (pesa) wa kutunza familia ni muhimu na sio kwa mkaka tu hata wadada pia. Ndio maana hata wakaka wanatafuta mwenza ambaye anaweza changia pato la kaya.
So Tetra dear, ukiwa na sifa hizo plus zile zingine za kusustain mapenzi you will surely get a woman na sio JF tu bali popote.
Mimi siangaliii una nini mkononi ila upeo wa wapi unataka ufike na uwezo wako wa kuitumia akili kukufikisha pale ambapo unatamani ufike, kweli kwangu mimi mwanaume ambae thinking capacity yake iko low simhitaji katika maisha yangu, najua hela tutatafuta, elimu pia mashule kila siku yanafunguliwa so atajiendeleza lakini swala la upeo ni kitu kingine nje ya elimu.