Ukiwa na sifa hizi,, Utapata mwenza haraka hapa JF

Ukiwa na sifa hizi,, Utapata mwenza haraka hapa JF

master degree in progress- (hakuna)
pesa zisizo na mawazo(hakuna)
umri wa miaka 30 (bado kidogo)..
Jf FOREVER ALONE

hahahah you sound like a self approved looser! Usikubali bwana!
 
ah wapi wewe, ishu ya kibamia au tango inahitaji siku yake maalum kuidiscuss. Weeeeeee mwanaume pesa ila na mambo fulani muhimumi ndo maana nasema, love its a complicated game.
sa unabisha nini wakati naongea experience????????
 
Jaman naomb mkiwa mnaleta nyuz muwe mnaangalia na upand mwingne,yan kama me hapo cna lolote kwa hyo na humu kuna kamoya kanamdondokea mutu furan na we unaanza habr kama hz,ahsant mung na bench lang naona linboreshwa
 
swala la umri na ma mastaz peleka hukoo!!issue ni pesa tuu na akili ya kuchacharika na maisha!!tunapenda wanaume watafutaji,asubuh mpk jioni busy kama kichaa,ukiona call yake nywele zote zinasimama kwa furaha na heshima inazidi!sio mnachat mpk mnakosa ya kusema!kazi za watu zinafanyika saa ngapi?

da umenena wangu! wera wera. mwanaume mhangaikaji bana hata kama haingizi pesa nyingiii angalau anachakarika na kazi kiasi kwamba akikupigia cmu unaona kama zali la mentali, sio dume zima lipo available tu mda wote kupiga porojo na kuchangia mada za mitandaoni.

ungekua karibu, ningekupa buku 10 ukapate lunch

Mmenikosha nyie wallah tena.......dadeki mwanaume kila saa.......unafanya nini....uko wapi......umevaaje......mafi ya kuku kabisa.......chacharika tafuta pesa......blah blah next time......kubafu.......
 
Back
Top Bottom