Ukiwa na sifa hizi,, Utapata mwenza haraka hapa JF

Ukiwa na sifa hizi,, Utapata mwenza haraka hapa JF

hukuhuku jf
ila twapendana kwa dhati
loya ana hela sawa ila nimempenda
toka moyoni na si fedha zake roger Tetra!

Last edited by a moderator:
hizo qualifications sikubaliani nazo,labda kwa wengine
 
:: Msomi (at least Masters in progress) :: Pesa (sio za mawazo) :: Umri (at least 30+) :: Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..Labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha !! Niko tayari kukosolewa. =
Mimi naamini Mungu alivyoniumba kanipa kila kitu, lakini siamini kama huu ndiyo upendo. upendo hauchagui, unaweza ukawa dokta na bado maisha yanakupiga, unaweza ukawa na pesa na ukaishia kuwa na stress Jambo la Msingi Muombeni sana Mungu na Fanyeni kazi kwa bidii na mtayaona mafanikio
 
kama pesa ndio kila kitu basi mawalla asingejiua kwa stress! YESU KWANZA HAYO MENGINE MATOKEO TU!.
 
::
Msomi (at least masters in progress)
::
Pesa (sio za mawazo)
::
Umri (at least 30+)
::
Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha !!
Niko tayari kukosolewa.
=
si kweli
tupe sample space yako?
Ulipm wangapi?
Besides utajuaje mtu ana pesa au lah
 
nadhan mapenz ya xku kama tekx 2 naul ikishuka wanapanda weng ukiwa mzul utapata weng iwe kwa mvulana au mschana
 
Kwa kupenda hela kwenu, ndo maana tunawaita majina mabaya kama yule demu, ule mdondoko, kicheche kinapita hicho, mama huruma huyooo anajileta.........!!!!!!!!!!!!! n.k
 
484737_509616852429279_769795140_n.jpg
 
Wakuu mbna mnanifanya nijisikie vibaya.. Pesa sina,kichwani bongolala,umri ndo hivyo unanitupa mkono.. Jmn thread nyingine ni matusiii duuh..

::
Sio lazima umpate JF wala si lazima umkose JF
=
 
si kweli
tupe sample space yako?
Ulipm wangapi?
Besides utajuaje mtu ana pesa au lah

::
Smile
Kuanika hadharani Jf members niliowatumia kama sample,,maadili ya nafsi yangu hayaniruhusu.
Hata hivyo Kama mahitaji hayo hayako applied kwako,si lazima yakose kwa wengine.
Si kweli kwako Then Relax
=
 
Last edited by a moderator:
si kweli
tupe sample space yako?
Ulipm wangapi?
Besides utajuaje mtu ana pesa au lah

::
Smile
Kuanika hadharani Jf members niliowatumia kama sample,,maadili ya nafsi yangu hayaniruhusu.
Hata hivyo Kama mahitaji hayo hayako applied kwako,si lazima yakose kwa wengine.
Si kweli kwako Then Relax
=
 
Last edited by a moderator:
Mimi naamini Mungu alivyoniumba kanipa kila kitu, lakini siamini kama huu ndiyo upendo. upendo hauchagui, unaweza ukawa dokta na bado maisha yanakupiga, unaweza ukawa na pesa na ukaishia kuwa na stress Jambo la Msingi Muombeni sana Mungu na Fanyeni kazi kwa bidii na mtayaona mafanikio

::
Imani itakuponya
Nenda kwa amani
=
 
::
Smile
Kuanika hadharani Jf members niliowatumia kama sample,,maadili ya nafsi yangu hayaniruhusu.
Hata hivyo Kama mahitaji hayo hayako applied kwako,si lazima yakose kwa wengine.
Si kweli kwako Then Relax
=
haya baba pole mi natafuta under 18
 
Karibu sana, ukiwa tayari uniambie tu ili nikupatie mapendekezo alafu ww mwenyewe utayazukia na kuuza sera zako, ukivutiwa na sera zikikubalika unialike mpunga na kunifanya mweka hazina wa kamati.
Ahsante,tunaweza kuanza sasa,nayasaubiri PM.
 
Back
Top Bottom