Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Passion Lady ukikumbana na bamia ugali kila siku kwa loya usituletee thread ya kulalamika
he! he! vitongoshoweo!
Mimi naamini Mungu alivyoniumba kanipa kila kitu, lakini siamini kama huu ndiyo upendo. upendo hauchagui, unaweza ukawa dokta na bado maisha yanakupiga, unaweza ukawa na pesa na ukaishia kuwa na stress Jambo la Msingi Muombeni sana Mungu na Fanyeni kazi kwa bidii na mtayaona mafanikio:: Msomi (at least Masters in progress) :: Pesa (sio za mawazo) :: Umri (at least 30+) :: Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..Labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha !! Niko tayari kukosolewa. =
si kweli::
Msomi (at least masters in progress)
::
Pesa (sio za mawazo)
::
Umri (at least 30+)
::
Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha !!
Niko tayari kukosolewa.
=
si kweli
tupe sample space yako?
Ulipm wangapi?
Besides utajuaje mtu ana pesa au lah
si kweli
tupe sample space yako?
Ulipm wangapi?
Besides utajuaje mtu ana pesa au lah
::
Sio lazima umpate JF wala si lazima umkose JF
=
Ntampata tu humu humu Mrembo by Nature atanisaidia.
Mimi naamini Mungu alivyoniumba kanipa kila kitu, lakini siamini kama huu ndiyo upendo. upendo hauchagui, unaweza ukawa dokta na bado maisha yanakupiga, unaweza ukawa na pesa na ukaishia kuwa na stress Jambo la Msingi Muombeni sana Mungu na Fanyeni kazi kwa bidii na mtayaona mafanikio
Ahsante,tunaweza kuanza sasa,nayasaubiri PM.Karibu sana, ukiwa tayari uniambie tu ili nikupatie mapendekezo alafu ww mwenyewe utayazukia na kuuza sera zako, ukivutiwa na sera zikikubalika unialike mpunga na kunifanya mweka hazina wa kamati.