Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,494
master degree in progress- (hakuna)
pesa zisizo na mawazo(hakuna)
umri wa miaka 30 (bado kidogo)..
Jf FOREVER ALONE
hahahah you sound like a self approved looser! Usikubali bwana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
master degree in progress- (hakuna)
pesa zisizo na mawazo(hakuna)
umri wa miaka 30 (bado kidogo)..
Jf FOREVER ALONE
sa unabisha nini wakati naongea experience????????ah wapi wewe, ishu ya kibamia au tango inahitaji siku yake maalum kuidiscuss. Weeeeeee mwanaume pesa ila na mambo fulani muhimumi ndo maana nasema, love its a complicated game.
hahahah you sound like a self approved looser! Usikubali bwana!
sa unabisha nini wakati naongea experience????????
swala la umri na ma mastaz peleka hukoo!!issue ni pesa tuu na akili ya kuchacharika na maisha!!tunapenda wanaume watafutaji,asubuh mpk jioni busy kama kichaa,ukiona call yake nywele zote zinasimama kwa furaha na heshima inazidi!sio mnachat mpk mnakosa ya kusema!kazi za watu zinafanyika saa ngapi?
da umenena wangu! wera wera. mwanaume mhangaikaji bana hata kama haingizi pesa nyingiii angalau anachakarika na kazi kiasi kwamba akikupigia cmu unaona kama zali la mentali, sio dume zima lipo available tu mda wote kupiga porojo na kuchangia mada za mitandaoni.
ungekua karibu, ningekupa buku 10 ukapate lunch