Ukiwa na simu iliyounganishwa kwenye Inernet, Upo salama kabisa

Ha ha haaaa, nakumbuka umewahi kuanzisha thread inayoelezea namna Google ilivyolaza akili za watu.
Jamaa alianzisha aisee...hebu kaeni km kamati ya Google mje na hitimisho na ushauri wewe na Bagah
 
Jamaa alianzisha aisee...hebu kaeni km kamati ya Google mje na hitimisho na ushauri wewe na Bagah

Advice taken, itabidi nikae na BAGAH kwa ajili ya kutoa mwongozo mpya wa namna na mazingira gani google itumike, itabidi tukualike kama msikilizaje...
 
Advice taken, itabidi nikae na BAGAH kwa ajili ya kutoa mwongozo mpya wa namna na mazingira gani google itumike, itabidi tukualike kama msikilizaje...
Yah pia km mtu atakayewakilisha mazungumzo kwa wanajamii wote....ongea nae then unijuze
 
vipi kama atatokea simba kugoogle inaruhusiwa?!! ......
MP.
 
Duh! Consi una masihara. Hapo nitatoka nduki na simu nimuachie agugo yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…